• Nairobi
  • Last Updated May 8th, 2024 12:43 PM

Olivier Giroud pua na mdomo kusajiliwa na AC Milan

Na MASHIRIKA FOWADI mzoefu wa Chelsea, Olivier Giroud yuko pua na mdomo kuingia katika sajili rasmi ya AC Milan ya Ligi Kuu ya Italia...

KRA kuuza mali ya KICC kulipia deni la Sh450m

Na DAVID MWERE HUENDA mali ya thamani ya mabilioni ya fedha ya Jumba la Kimataifa la Mikutano la Kenyatta (KICC) ikauzwa kulipia deni la...

Korti yaonyeshwa video ya mwili wa Sharon, kesi dhidi ya Obado ikianza

Na RICHARD MUNGUTI KESI ya mauaji dhidi ya Gavana wa Migori Okoth Obado na watu wengine wawili ilianza kusikilizwa Jumatatu, huku...

Msako kuzima tabia ya uunganishaji stima kinyume cha sheria

Na SAMMY KIMATU SERIKALI imeendeleza msako dhidi ya uunganishaji stima kinyume cha sheria katika mitaa yote ya mabanda iliyoko Kaunti ya...

Raia 104 wa Ethiopia watiwa mbaroni baada ya kupatikana wakiishi kwenye nyumba ya vyumba vitatu Juja

Na LAWRENCE ONGARO RAIA 104 wa Ethiopia walinaswa eneo la Juja katika Kaunti ya Kiambu. Inadaiwa walipatikana katika mtaa wa Matangi,...

Matamanio ya Ruto, uamuzi wa June na mja kupata ajaliwalo na Mungu

Na SAMMY WAWERU NAIBU Rais Dkt William Ruto amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu uamuzi wa binti yake June Ruto kuingia kwenye ndoa na...

Nairobi, kaunti za Mlima Kenya zaorodheshwa tajiri zaidi Kenya

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine Nairobi na kaunti za Mlima Kenya zimeorodheshwa kama tajiri zaidi kulingana na takwimu zilizotolewa...

Wanawake watwaa majukumu ya kiume wazee wakilewa tu!

WANDERI KAMAU na STEVE NJUGUNA ATHARI za matumizi ya mihadarati miongoni mwa vijana katika eneo la Mlima Kenya zimeanza kupita mipaka...

Utalii, uwekezaji kuimarika Pwani – Wadau

Na KNA KUZINDULIWA kwa Bandari ya Lamu pamoja na ujenzi wa barabara za kisasa kutaimarisha sekta ya utalii katika ukanda wa...

Kampeni ya kugawa Huduma Namba yaanza

Na KENYA NEWS AGENCY KAMPENI ya nyumba hadi nyumba imeanzishwa katika kaunti ya Garissa kwa ajili ya kusaka wenye kadi 9,000 za Huduma...

Ford Kenya yakanusha kufanya mazungumzo ya 2022 na Dkt Ruto

Na ONYANGO K'ONYANGO VIONGOZI wa chama cha Ford Kenya wamekanusha madai kwamba, wanafanya mazungumzo ya siri na Naibu Rais William Ruto...

MKU yashirikiana na UN kuwajali wanaoishi na ulemavu

Na LAWRENCE ONGARO SHIRIKA la Umoja wa Mataifa (UN) linatambua juhudi za Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) za kuwajali wanaoishi na...