• Nairobi
  • Last Updated April 30th, 2024 8:55 PM

ODM yapuuza madai ya kupoteza ufuasi Pwani

VALENTINE OBARA na MAUREEN ONGALA CHAMA cha ODM kimekashifu wapinzani wake wanaodai kimepoteza umaarufu eneo la Pwani baada ya wanachama...

PCEA yapiga marufuku siasa makanisani

Na JOHN NJOROGE KANISA la Presbyterian Church of East Africa (PCEA) limepiga marufuku wanasiasa kupiga siasa kanisani muda mfupi baada ya...

Msongo wa mawazo unasababisha vijana kuota mvi mapema -utafiti

Na LEONARD ONYANGO Ikiwa wewe ni kijana na tayari umeanza kuwa na nywele nyeupe kichwani, kuna uwezekano kwamba wewe ni mwathiriwa wa...

Watu 400,000 wanakumbwa na njaa Tigray-UN

Na AFP NEW YORK, Amerika UMOJA wa Mataifa (UN) umesema zaidi ya watu 400,000 wanakumbwa na njaa katika eneo la Tigray, Ethiopia, kutokana...

Wahamiaji 43 wafariki mashua ikizama

Na AFP TUNIS, Tunisia WAHAMIAJI 43 walifariki Jumamosi baada ya mashua yao kuzama katika Pwani ya Tunisia, limesema Shirika la Msalaba...

Siasa ndizo mwiba kwa Mumias Sugar

Na MWANDISHI WETU Hadi miaka ya tisini, Kampuni ya Sukari ya Mumias ilikuwa kampuni tajika yenye tija kuu nchini Kenya. Ilikuwa kampuni...

Atokwa jasho jingi viganja vya miguu

Na MWANDISHI WETU Mpendwa Daktari,­­­Mwanangu mvulana ambaye ametimu umri wa kubalehe ana tatizo la kutokwa na jasho kwenye viganja...

Corona hatari sana yaja hata kwa waliopata chanjo – WHO

Na AFP MKURUGENZI wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameonya kwamba ulimwengu uko katika “kipindi hatari”...

Huenda chama cha Knut kikashindwa kuinuka tena

Na WANTO WARUI Ngumi ya tumboni ambayo Chama Cha Kuajiri Walimu nchini (TSC) kiligonga Chama Cha Kutetea Maslahi ya Walimu (KNUT) ilikuwa...

Wadau wa Pwani wataka Ligi Kuu ya Drafu ianze nchini

NA CHARLES ONGADI KAMA ilivyo katika soka, mchezo wa drafu umeondokea kuzuzua wengi jimbo la Pwani hasa kutokana na inavyoutia idadi kubwa...

OCS kufikishwa kortini leo kwa madai ya kuchukua hongo

ERIC MATARA na JOHN NJOROGE KAMANDA wa Kituo cha Polisi cha Molo Anne Kanori anatarajiwa kufikishwa kortini leo kwa madai ya kuchukua...

Zuma airai korti itathmini hukumu iliyotoa dhidi yake

Na AFP ALIYEKUWA rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, anaitaka Mahakama ya Kikatiba nchini humo kutathmini upya hukumu iliyotoa dhidi yake...