• Nairobi
  • Last Updated April 30th, 2024 3:55 PM

NANJALA NYABOLA: Vyama vilikiuka sheria ya faragha-data, viadhibiwe

Na NANJALA NYABOLA Wakenya walipigwa na butwaa walipogundua kwamba wamesajilishwa na vyama vya kisiasa bila ya wao kujua au...

Wanavyokabili janga la plastiki jiji kuu

Na MWANDISHI WETU Huku idadi ya watu ikiendelea kuongezeka na wengine wakihamia mijini, uchafu unaotokana na plastiki unazidi kuwa tishio...

Ushindani mkali vyuo vikuu vikiingia debeni leo

Na FRANCIS MUREITHI ZAIDI ya wajumbe 500 wa Muungano wa Wafanyakazi wa Elimu katika Vyuo Vikuu (UASU) leo watashiriki uchaguzi wenye...

Bandari ya Lamu kuanza kutumiwa kuingiza mafuta ya nazi

Na KALUME KAZUNGU BANDARI ya Lamu hivi karibuni itaanza kutumiwa kuingiza nchini mafuta ghafi ya nazi kutoka Indonesia. Balozi wa...

Familia 50 zaumizwa na baridi kali baada ya nyumba zao kuteketea Mukuru-Kayaba

Na SAMMY KIMATU FAMILIA 50 zilikesha nje penye baridi baada ya nyumba zao kuteketea kwenye mkasa wa moto usiku wa kuamkia...

Ujanja wa magavana wenye kesi kuendelea kuhudumu

Na WAANDISHI WETU MAGAVANA waliozuiwa kufika katika makao makuu ya kaunti na kuendelea kuongoza kutoka kwa afisi zao kutokana na kesi za...

Balaa mikopo ya Kenya ikifika Sh9tr

Na DAVID MWERE RAIS Uhuru Kenyatta sasa atahitaji idhini ya Wabunge kabla ya kukopa fedha kutoka kwa taasisi za humu nchini na mataifa...

Kocha Allegri awataka Juventus wamsajili upya kiungo Paul Pogba kutoka Manchester United

Na MASHIRIKA MKUFUNZI Massimiliano Allegri amewataka waajiri wake Juventus kumsajili upya kiungo Paul Pogba wa Manchester United muhula...

Mawakili walaani kuhangaishwa kwa Khaminwa

Na WANDERI KAMAU VIONGOZI, mawakili na mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Jumamosi walikashifu hatua ya polisi kuzingira afisi...

Kijiji machifu huzuia wenyeji kujenga nyumba za kisasa

Na KALUME KAZUNGU WAKAZI wa kijiji cha Manda-Maweni, Kaunti ya Lamu wameshangaza wengi kwa kuishi katika nyumba zilizojengwa kwa udongo,...

Kiwanda cha mananasi kujengwa Gatundu Kaskazini

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Gatundu Kaskazini wana sababu ya kutabasamu baada ya kuahidiwa na serikali ya Kaunti ya Kiambu kuwa...

EACC yagonga mwamba katika uchunguzi kuhusu vyeti feki vya elimu

Na LEONARD ONYANGO MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji amekataa ripoti ya uchunguzi ya Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi...