• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

Kijana ajeruhiwa baada ya kushambuliwa na kiboko

Na ALEX KALAMA KIJANA mwenye umri wa miaka 19 amelazwa katika Hospitali Kuu ya Malindi, Kaunti ya Kilifi baada ya kujeruhiwa vibaya na...

Maafisa wawasaka majambazi walioua mfanyabiashara mtaani

Na Sammy Kimatu WANAUME wawili walipigwa risasi na washukiwa wa ujambazi katika mtaa mabanda, tarafa ya South B katika kaunti ndogo ya...

Ni Gor na Wazito huku nao Tusker wakitazama meza

Na CECIL ODONGO FATAKI zinatarajiwa leo katika uga wa Thika, mibabe Gor Mahia wakitifua vumbi dhidi ya mabwenyenye Wazito katika mechi...

Rais kuzindua Safari Rally ulinzi mkali ukiwekwa

Na GEOFFREY ANENE RAIS Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuzindua Mbio za Magari Duniani (WRC) Safari Rally nje ya Jumba la Mikutano la KICC...

Mwanahabari wa KBC aporwa

Na SYLVANIA AMBANI MWANAHABARI mmoja wa Shirika la Utangazaji nchini (KBC) alishambuliwa na kuibiwa na vijana wasiojulikana akiwa kwenye...

Washukiwa 15 wa mauaji kuendelea kusota rumande

Na STEVE NJUGUNA MAHAKAMA mjini Nyahururu imeruhusu maafisa wa polisi kuendelea kuwazuilia washukiwa 15 wanaohusishwa na mauaji ya...

Covid-19: WHO sasa kuzindua kituo chakuunda chanjo Afrika

Na MHARIRI JUHUDI za kukabiliana na Covid-19 huenda zikapigwa jeki pakubwa huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likianzisha kituo cha...

Messi aisaidia Argentina kufuzu kwa robo fainali kipute cha Copa America

BRASILIA, Brazil ARGENTINA imefuzu kwa robo-fainali ya michuano ya Copa America baada ya kuishinda Paraguay kwa 1-0, lililofungwa na...

Papara na pupa hazileti ufanisi katika maisha

Na MHARIRI LAITI mwanadamu angalikuwa msikizi na msikivu mahiri aliyemakinika katika kusikiliza kwake, hakika mafanikio mengi...

Kundi la Malenga Wamilisi na Kiswahili ni chanda na pete

Na CHRIS ADUNGO KUNDI la Malenga Wamilisi linajumuisha watunzi wa mashairi wenye umilisi katika utanzu huu wa fasihi. Kwa mujibu wa...

Shule ziboreshwe ili kuepusha ushindani mkali uliopo kwa sasa

Na FRANKLIN MUKEMBUKAJUKI-NITHI BAADA ya uteuzi wa wanafunzi wa darasa la nane wanaojiunga na Kidato cha Kwanza kuanzia Agosti, kumekuwa...

Serikali yanyenyekea kuhusu amri kwa makanisa

Na MARY WAMBUI SERIKALI jana ililazimika kukutana na viongozi wa kidini baada ya kuweka masharti makali yaliyoonekana kukandamiza uhuru...