• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 8:55 AM

Wanaokabiliwa na njaa wasajiliwa ili wasaidiwe

KNA na MAUREEN ONGALA Mamlaka ya Taifa ya kukabiliana na Ukame (NDMA), jana ilianza kuwasajili watu wanaokabiliwa na njaa Kaunti ya Tana...

Daktari wa KNH aliyejiua kuzikwa habari zaidi zikiibuka

Na MARY WANGARI DAKTARI wa Hospitali Kuu ya Kenyatta (KNH) aliyedaiwa kujitoa Uhai, Dkt Lydia Kanyoro atazikwa Jumamosi, June 19...

Walevi Gatundu waasi pombe kujishughulisha na kazi za manufaa

Na LAWRENCE ONGARO WALEVI katika kaunti ndogo ya Gatundu wameasi unywaji wa pombe haramu na kujihusisha na kazi za ujenzi wa...

Saa za kafyu zaongezwa kaunti 13 zilizoko Magharibi, Nyanza

Na CHARLES WASONGA SERIKALI imeongeza muda wa kafyu katika kaunti 13 zilizoko Magharibi mwa Kenya kama hatua ya kuzuia kuenea kwa virusi...

Vita vya Obado dhidi ya Raila, ODM vingalipo

Na IAN BYRON GAVANA wa Migori Okoth Obado ameendelea kukishutumu chama cha ODM kwa kudai kilimtenga alipokabiliwa na changamoto katika...

Wakazi Naromoru wahimizwa kuzingatia sheria na mikakati ya kuzuia Covid-19 harusini na mazishini

Na SAMMY WAWERU NAIBU wa Chifu kata ndogo ya Naromoru, Nyeri, Nyambura Githinji amewataka wakazi wa eneo hilo kwa jumla kuhakikisha...

Wanafunzi 94 kutoka Thika kupata ufadhili masomoni

Na LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI kutoka familia maskini wapatao 94 katika kaunti ndogo ya Thika watanufaika na mpango wa serikali kuwasaidia...

Kizaazaa kortini baada ya kasisi aliyetisha mpenziwe kuachiliwa huru

KITAVI MUTUA KUZUKA kizaazaa Jumatano katika majengo ya mahakama ya Kitui baada ya kasisi mmoja wa kanisa Katoliki aliyeshtakiwa kwa...

‘Hakuna kifo cha corona jana Jumatano’

Na CHARLES WASONGA KENYA Jumatano, haikuandikisha kisa chochote cha maafa kutokana na ugonjwa wa Covid-19 huku visa 485 vipya vya...

Wanafunzi watatu wa Thika School for the Blind ni wajawazito

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya kuwalinda wanafunzi walemavu hasa wasioona ili kuwaepusha na changamoto wanazopitia. Afisa mkuu wa...

Wavuvi Lamu wadai maegesho yao yamenyakuliwa

Na KALUME KAZUNGU WAVUVI katika kisiwa cha Lamu wanaiomba serikali kuingilia kati na kuwasaidia kukomboa ardhi yao ya maegesho...

Shule mpya ya msingi ya Mutuya yafunguliwa Ruiru

Na LAWRENCE ONGARO SHULE mpya ya msingi ya Mutuya imefunguliwa eneobunge la Ruiru ili kupunguza msongamano uliopo katika shule ya...