• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 8:22 PM

Wavuvi Lamu wadai maegesho yao yamenyakuliwa

Na KALUME KAZUNGU WAVUVI katika kisiwa cha Lamu wanaiomba serikali kuingilia kati na kuwasaidia kukomboa ardhi yao ya maegesho...

Shule mpya ya msingi ya Mutuya yafunguliwa Ruiru

Na LAWRENCE ONGARO SHULE mpya ya msingi ya Mutuya imefunguliwa eneobunge la Ruiru ili kupunguza msongamano uliopo katika shule ya...

Familia yahangaika baada ya kupata mwili uliokuwa umetoweka kaburini

Na MAUREEN ONGALA FAMILIA ya marehemu Fatuma Mwero kutoka kijiji cha Mabirikani, Kaunti ya Kilifi ambaye mwili wake ulikuwa umetoweka...

Chama cha wazazi chataka serikali iwaandame walimu wakuu watozao ada za haramu

Na TITUS OMINDE MWENYEKITI wa Chama cha Kitaifa cha Wazazi (NPA) Nicholas Maiyo ameitaka Wizara ya Elimu kuwachukulia hatua baadhi ya...

Bidco yazidi kupanua biashara zake barani Afrika

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Bidco Africa Ltd imeonyesha uwezo wake wa kujiendeleza barani Afrika hasa uwekezaji na ustawishaji wa...

Madereva, wamiliki wa tuk-tuk waandamana Mombasa kwa kuhangaishwa na maafisa wa kaunti

Na SIAGO CECE WAHUDUMU wa tuk-tuk mjini Mombasa waliziba barabara kadhaa mjini huku wakifanya maandamano kulalamikia kuhangaishwa na...

Dhuluma: Mbunge ahimiza wanawake wazungumze waziwazi badala ya kujitia unyongeni

Na KALUME KAZUNGU MBUNGE Mwakilishi wa Wanawake katika Kaunti ya Lamu, Bi Ruweida Obbo, amewahimiza wanawake wanaopitia dhuluma za aina...

Wakazi 3,500 Mwatate hatarini kufurushwa

Na LUCY MKANYIKA HATIMA ya wakazi zaidi ya 3,500 wa eneo la Mwatate, Kaunti ya Taita Taveta imo hatarini baada ya Shirika la Kuhufadhi...

Wenyeji watumai kuzima mzozo na wasimamizi wa ‘shamba la Ruto’

Na LUCY MKANYIKA MZOZO kati ya jamii za Kaunti ya Taita Taveta na wasimamizi wa shamba linalohusishwa na Naibu Rais William Ruto,...

Polisi watwaa daraja lililoibwa kutoka Mukuru-Kayaba

Na SAMMY KIMATU MAAFISA wa polisi walifanikiwa kupata vipande vya vyuma na mabati ya daraja moja lililokuwa limeporomoka baada ya kuibwa...

Familia zaidi ya 100 zapoteza nyumba zao baada ya moto kuteketeza nyumba 150 mtaani Mukuru-Kayaba

Na SAMMY KIMATU ZAIDI Ya familia mia moja zimepoteza nyumba zao baada ya moto mkubwa kuteketeza nyumba 150 katika mtaa mmoja wa mabanda...

Vijana wahimizwa kuzingatia teknolojia ya Ajira Digital Kenya

Na LAWRENCE ONGARO VIJANA wamehimizwa kuzingatia utumizi wa mitandao ya kidijitali aina ya Ajira Digital Kenya, ili kujiendeleza...