• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

Ondoa gharama ya kununua fatalaiza kwa kujitengezea mbolea asilia na yenye rutuba

Na SAMMY WAWERU TIMOTHY Mburu ni mkulima wa mseto wa mimea eneo la Gitinga, Naromoru, Kaunti ya Nyeri. Hukuza mimea kama vile...

Takataka iliyowakera wakazi eneo la viwandani na mtaani wa mabanda laondolewa

Na SAMMY KIMATU NAIROBI TAKATAKA iliyorundikana katika mtaa mmoja wa mabanda South B, kaunti ya Nairobi na kuwakera wakazi kwa majuma...

Kingi aonya maafisa

Na MAUREEN ONGALA GAVANA wa Kaunti ya Kilifi, Bw Amason Kingi ameonya wafanyakazi wa kaunti dhidi ya kujaribu kuvuruga mfumo mpya wa...

Mbunge ataka Magoha ahojiwe kuhusu karo

Na MAUREEN ONGALA MBUNGE wa Rabai, Bw William Kamoti amemkosoa Waziri wa Elimu, Prof George Magoha kwa kutaka wanafunzi ambao wana...

Wahudumu walia kuhusu ada mpya za tuk tuk

Na WACHIRA MWANGI WAHUDUMU wa tuk tuk katika Kaunti ya Mombasa wamelalamika kuhusu sera mpya ya kaunti inayowahitaji kulipa Sh1,000 ili...

Kocha David Moyes arefusha kandarasi yake kambini mwa West Ham kwa miaka mitatu

Na MASHIRIKA TAFSIRI NA: CHRIS ADUNGO KOCHA David Moyes, 58, amerefusha mkataba wake kambini mwa West Ham United kwa kipindi cha...

Amerika kutuma wanajeshi Kenya kupigana na Al-Shabaab

BRIAN NGUGI na WALTER MENYA RAIS wa Amerika Joe Biden ametangaza kuwa atatuma vikosi maalum vya wanajeshi nchini kusaidia juhudi za...

Magavana sasa tumbojoto kuhusu miradi iliyokwama

Na SHABAN MAKOKHA MAGAVANA wanaohudumu katika mihula yao ya mwisho wana wasiwasi kuhusu sifa watakazoacha baada ya miradi mingi...

IEBC ielimishe Wakenya jinsi ya kutimua viongozi

Na LEONARD ONYANGO TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) leo inaanza shughuli ya kuhamasisha Wakenya kuhusiana na masuala mbalimbali ya...

Mikakati ya kuvutia wawekezaji wa kigeni izingatie SME

Na MARY WANGARI MWISHONI mwa wiki iliyopita, Kenya ilipokea mkopo wa Sh80bilioni kutoka kwa Benki ya Dunia kwa lengo la kuimarisha...

Mahakama: Ni wakati Rais akubali miito

Na MHARIRI NI wazi imefikia wakati Rais Uhuru Kenyatta atathmini tena msimamo wake kuhusu mvutano uliopo kati ya Serikali na Idara ya...

Muungano wa kisiasa wa kaunti za Mashariki pigo kwa Mlima Kenya

Na BENSON MATHEKA HUENDA eneo la Mlima Kenya likakosa nguvu za kisiasa ambazo limekuwa likijivunia ikiwa juhudi za kuunganisha kaunti...