• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 6:47 PM

36 kuhojiwa kujaza nafasi 4 za makamishna IEBC

Na LEONARD ONYANGO MAHOJIANO ya kutafuta watakaochua nafasi nne za makamishna katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) yataanza...

Chipu yapasua Mwamba raga ya kujiandalia Kombe la Afrika

Na GEOFFREY ANENE WANARAGA wa Chipu wamenyuka klabu ya Mwamba kutoka Ligi Kuu kwa alama 12-10 katika mechi ya kujipima nguvu uwanjani...

Vihiga Queens na Thika Queens walishinda zoni zao za Ligi Kuu ya Wanawake

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi Vihiga Queens na washindi wa zamani Thika Queens wamekamilisha msimu wa kawaida wa Ligi Kuu ya...

Tungali kwenye mataa baada ya kubomolewa makao

Na SAMMY WAWERU NI zaidi ya miezi miwili tangu ubomoaji wa makazi na majengo utekelezwe eneo la Kware, Njiru, Kaunti ya...

Mtandao wa ‘Ardhi Sasa’ utaweza kuzima matapeli wa ardhi Nairobi na Kenya kwa jumla?

Na SAMMY WAWERU MUDA unazidi kuyoyoma tangu ubomoaji wa majengo ufanyike katika eneo la Kware, Kaunti Ndogo ya Njiru, kiungani mwa jiji...

Kenya imechanja tena wanamichezo 2,000 na wanaotangamana –Waziri Amina

Na GEOFFREY ANENE WIZARA ya Michezo imefichua kuwa wanamichezo 2,000 wamepokea chanjo ya pili juma hili ya ugonjwa wa covid-19 kupitia...

Kenya imechanja tena wanamichezo 2,000 na wanaotangamana –Waziri Amina

Na GEOFFREY ANENE WIZARA ya Michezo imefichua kuwa wanamichezo 2,000 wamepokea chanjo ya pili juma hili ya ugonjwa wa covid-19 kupitia...

Mtazamo wako wa maisha ni chaguo lako lakini kwa yote zingatia hekima

Na LUCY KILALO MAFANIKIO yanategemea mtazamo. Kushinda kunategemea mtazamo. Furaha inategemea mtazamo. Shukrani inategemea mtazamo....

Watu 13 wajeruhiwa katika shambulizi

NA MASHIRIKA AUSTIN, AMERIKA WATU wasiopungua 13 walijeruhiwa, wawili miongoni mwao wakiachwa hali mahututi, katika kisa cha...

Jumba llililoanza kujengwa enzi za Moi latengewa bajeti ya Sh500 milioni

Na SAMWEL OWINO Jengo lililoanza kujengwa wakati wa utawala wa Hayati Daniel arap Moi limetengewa Sh500 milioni katika bajeti ya mwaka...

Magavana tumbototo kuhusu miradi waliyoanza

Na SHABAN MAKOKHA MAGAVANA wanaohudumu katika mihula yao ya mwisho wana wasiwasi kuhusu sifa watakazoacha baada ya miradi mingi...

Mhudumu wa bodaboda anusurika kifo kwa kichapo

NA WYCLIFFE NYABERI Maafisa wa polisi katika kaunti ya Nyamira jana walilazimika kufyatua risasi hewani ili kumuokoa mhudumu mmoja wa...