• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 4:55 PM

Mhudumu wa bodaboda anusurika kifo kwa kichapo

NA WYCLIFFE NYABERI Maafisa wa polisi katika kaunti ya Nyamira jana walilazimika kufyatua risasi hewani ili kumuokoa mhudumu mmoja wa...

Aliyetishia kumuua mpenziwe ahukumiwa

Na KNA MWANAMUME aliyetishia kumuua mpenzi wake wa zamani kutokana na deni la nyanya amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi...

Hatukutengewa fedha za referenda, IEBC yafafanua

Na CHARLES WASONGA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imefafanua kuwa Sh14.5 bilioni ilizotengewa katika bajeti iliyosomwa na Waziri...

Miradi ya Uhuru Nyanza inavyotishia kuchimbia Raila kaburi la kisiasa

Na CHARLES WASONGA ZIARA ya Rais Uhuru Kenyatta majuzi katika eneo la Luo Nyanza imegeuka shubiri ya kisiasa kwa kiongozi wa ODM Raila...

Maafisa wahofia wagonjwa huiba vyandarua vya mbu

Na SHABAN MAKOKHA MAAFISA wa Afya katika hospitali moja ya eneobunge la Matungu, Kaunti ya Kakamega, wameelezea hofu yao kuwa wagonjwa...

Kalonzo, Raila kufufua NASA

Na PIUS MAUNDU na LEONARD ONYANGO KIONGOZI wa ODM, Raila Odinga na mwenzake wa Wiper Kalonzo Musyoka wametangaza kuwa wataungana ili...

FKF yafanikisha klabu 11 za Nairobi kupokea chanjo ya pili ya AstraZeneca

Na GEOFFREY ANENE KLABU 11 zinazoshiriki Ligi Kuu nchini na kutoka katika kaunti ya Nairobi, zimepokea chanjo ya pili ya Covid-19 katika...

Shabana waomba uungwaji mkono

Shabana waomba usaidizi kutoka kwa mashabiki, huku wakiwasili Nairobi kwa mechi. NA JOHN ASHIHUNDU Katibu Mtendaji wa Shabana FC,...

Moto wateketeza nyumba zaidi ya 100

Na SAMMY KIMATU NAIROBI FAMILIA zaidi ya 100 zimepoteza makazi baada ya moto mkubwa kuteketeza nyumba zao katika mtaa wa Kayaba,...

Afrika iongoze ukuzaji wa Kiswahili kimataifa

Na Augustine Gitonga Ulimwenguni kote, kutoweka kwa lugha za asili kunaendelea bila juhudi maalum za kurekebisha hali hiyo. Tukianzia...

Pigo tena kwa Uhuru korti ikibatilisha amri

Na BENSON MATHEKA MAHAKAMA Kuu inaendelea kuwa pigo kwa Rais Uhuru Kenyatta kwa kufuta maamuzi yake ikisema si ya kikatiba. Jana,...

Covid-19: Fainali za Copa America nchini Brazil kuendelea jinsi zilivyopangwa licha ya pingamizi

Na MASHIRIKA TAFSIRI NA: CHRIS ADUNGO FAINALI za Copa America zilizoratibiwa kuanza Juni 13, 2021 nchini Brazil, zitaendeleza jinsi...