• Nairobi
  • Last Updated May 7th, 2024 2:33 PM

OCS wa kituo cha Garissa aachiliwa kwa dhamana akikana mashtaka ya mauaji

Na FARHIYA HUSSEIN AFISA mkuu wa kituo cha polisi Kaunti ya Garissa Michael Munyalo ameachiliwa kwa dhamana ya Sh1 milioni mnamo...

Nyumba za kisasa kujengwa Ruiru na Thika

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Ruiru watanufaika kwa ujenzi wa nyumba 500 eneo la Majengo karibu na soko kuu la eneo hilo. Gavana wa...

ICJ, Linda Katiba zashambulia Uhuru

Na CHARLES WASONGA TUME ya Kimataifa ya Wanasheria (ICJ) na vuguvugu la Linda Katiba zimemkashifu Rais Uhuru Kenyatta kwa kile zilisema...

Nakuru kuwa jiji endapo Rais ataidhinisha uamuzi wa maseneta

Na CHARLES WASONGA MJI wa Nakuru sasa utapandishwa hadhi na kuwa jiji la nne nchini endapo Rais Uhuru Kenyatta ataidhinisha uamuzi wa...

Uhasama wa kisiasa wa Sang na Cherargei wazuka tena mbele ya kamati ya seneti

Na CHARLES WASONGA MALUMBANO makali yalizuka Alhamisi kati ya Gavana wa Nandi Stephen Sang’ na seneta wa kaunti hiyo Samson Cherargei...

Duale aitaka serikali ya Korane iimarishe huduma Garissa

Na FARHIYA HUSSEIN MBUNGE wa Garissa Mjini, Aden Duale ameilaumu serikali ya Kaunti ya Garissa ikiongozwa na Gavana Ali Korane akisema...

Mavuno ya mahindi kupungua – utafiti

Na BARNABAS BII WAKULIMA wa mahindi na wataalamu wa Kilimo katika eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa, wameeleza wasiwasi wa kupata mazao...

Majaji wakemea Uhuru, wamzuia kujadili kesi, BBI

Na RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA ya Rufaa imewaonya vikali viongozi wakuu serikalini na wahusika wote katika kesi kuhusu mageuzi ya katiba...

Mwanamke afa kwa ‘hofu ya kukamatwa na polisi’ Kilifi

Na MAUREEN ONGALA MWANAMKE katika kijiji cha Kwa Mwango, Kaunti ya Kilifi amefariki kwa kile wakazi wametaja kuwa mshtuko uliotokana na...

Washukiwa 12 wa genge la Wakali Kwanza wajisalimisha

Na FARHIYA HUSSEIN VIJANA 12 wanaoshukiwa kuwa wa genge la 'Wakali Kwanza' wamejisalimisha kwa maafisa wa polisi Kaunti ya...

Bunge la Vihiga kujadili iwapo mawaziri wanne watimuliwe au la

Na DERICK LUVEGA MJADALA kuhusu hoja za kutimuliwa kwa mawaziri wa kaunti na kampeni ya kusimamishwa kwa serikali ya Kaunti ya Vihiga ni...

Wanafunzi wa kike kunufaika na ufadhili wa sodo

Na LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya matunda ya Delmonte Kenya Limited (DMKL), ya Thika, imeanza mpango wa kusambaza sodo kwa wasichana ambao...