• Nairobi
  • Last Updated May 7th, 2024 9:48 PM

Kafyu kuendelea kwa siku 60 zaidi

Na LEONARD ONYANGO MARUFUKU ya kutokuwa nje kati ya saa 4.00 usiku na saa 10.00 alfajiri itaendelea hadi Julai 27. Kupitia Gazeti...

Kiongozi wa wasiomtambua Mungu hatimaye aonekaniwa na Yesu Kristo

Na LEONARD ONYANGO CHAMA cha Wasioamini Mungu nchini (AKS) kimewataka Wakenya wanaotaka nafasi ya katibu mkuu kutuma maombi baada ya...

IEBC yalaumu polisi kwa vurugu za chaguzi ndogo

Na WALTER MENYA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Bw Wafula Chebukati amelaumu polisi kwa kushindwa kudumisha...

Kampuni yagundua kiwango kikubwa cha dhahabu

BENSON AMADALA Na DERICK LUVEGA UCHIMBAJI wa dhahabu Magharibi mwa Kenya unatarajiwa kuongezeka kwa kiwango kikubwa baada ya kampuni ya...

Wito serikali itoe sodo bila malipo

Na Maureen Ongala MASHIRIKA ya kijamii ya katika kaunti ya Kilifi, jana walitaka serikali kuu kutoa sodo bila malipo kama vile inatoa...

Walimu hatarini kukosa nyongeza ya mishahara

Na FAITH NYAMAI WALIMU kote nchini huenda wakakosa nyongeza ya kila mwaka ya mishahara yao pamoja na kupandishwa kwa baadhi ya vyeo...

Nahitaji miaka 3 kuifahamu vyema idara – Jaji Mkuu Martha Koome

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Mkuu Martha Koome amesema kuwa itamchukua miaka mitatu ili kuielewa vyema Idara ya Mahakama. .Jaji Mkuu...

Aliyejeruhiwa akivuka feri Likoni kulipwa Sh418,000

Na BRIAN OCHARO MAHAKAMA Kuu ya Mombasa imeagiza kuwa mwanamume alipwe fidia ya Sh418,000 baada ya kujeruhiwa alipokuwa akivuka feri...

Korti yacharaza Uhuru kiboko mara nyingine ikisema alipuuza Katiba

Na RICHARD MUNGUTI RAIS Uhuru Kenyatta amepata pigo jingine katika maamuzi yake baada ya Mahakama Kuu jana kufutilia mbali uteuzi wa...

Mwanamke atoroka mumewe na kuolewa na ‘roho mtakatifu’

Na OSCAR KAKAI MWANAMKE wa umri wa miaka 41 ameshangaza mumewe pamoja na wakazi wa mji wa Makutano, Pokot Magharibi, baada ya kutangaza...

NMG yatenga siku ya matumizi ya Kiswahili mara moja kila mwezi

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya habari ya Nation Media Group imeimarisha juhudi zake za kukuza matumizi ya Kiswahili kwa kutenga siku moja...

Watumishi wa serikali wasusia mikopo ya magari

Na KENYA NEWS AGENCY MAAFISA wa serikali ya kitaifa wamesusia hazina iliyoanzishwa na serikali kuwapa mikopo ya kununua magari, Afisa...