• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 9:01 PM

Jaji Mkuu afaa kuteuliwa apokezwe mikoba ndipo mtangulizi wake aondoke rasmi, apendekeza Cherargei

Na SAMMY WAWERU SENETA wa Kaunti ya Nandi Samson Cherargei amependekeza asasi huru serikalini kama idara ya mahakama, ziwe zinateua...

Wanahabari 51 walishambuliwa wakiwa kazini – ripoti yaonyesha

Na MARY WANGARI JUMLA ya wanahabari 51 wakiwemo wanahabari tisa wa kike, walishambuliwa katika kipindi cha mwaka mmoja...

Bensouda sasa ahusisha Ruto na kesi mpya

Na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa Mashtaka katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Bi Fatou Bensouda, amemhusisha moja kwa moja...

Safari za Madaraka Express zaleta matumaini Pwani baada ya kiwingu cheusi cha Covid-19

Na CHARLES WASONGA ILIKUWA ni furaha ya aina yake kwa abiria Jumatatu alasiri baada ya kuwasili katika kituo cha garimoshi cha Miritini,...

Wakulima wa Gatundu wapokea fedha za kahawa

Na LAWRENCE ONGARO WAKULIMA wapatao 437 wa kahawa kutoka Igegania, Gatundu Kaskazini, walilazimika kutabasamu baada ya kupokea bonasi ya...

Wanasoka waomba kazi kwenye mradi wa ukarabati wa uwanja wa Afraha

Na RICHARD MAOSI WANASOKA kutoka Nakuru wanaomba kupatiwa asilimia kubwa ya vibarua uwanja wa Afraha unapoanza kukarabatiwa kwa kipindi...

Shule kufunguliwa kulingana na kalenda ya wizara

Na SAMMY WAWERU SHULE na taasisi zote za elimu nchini zitafunguliwa kwa mujibu wa kalenda ya Wizara ya Elimu, amesema Rais Uhuru...

Mgonjwa hospitalini kutembelewa na mtu mmoja pekee kwa siku

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta ameagiza hospitali na vituo vyote vya afya nchini kuhakikisha mgonjwa aliyelazwa anatembelewa na mtu...

Miradi ya barabara na maji safi kuwafaa wakazi wa Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO KAUNTI ya Kiambu imeweka mikakati ya kuchimba visima vya maji katika wadi kadha za eneo hilo. Gavana wa Kiambu Dkt...

DCI yaonya wasichana dhidi ya walaghai mtandaoni

Na MARY WANGARI Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imetoa ilani kuhusu matapeli wanaowavizia wasichana mitandaoni kwa kutumia...

Washukiwa 11 wa kundi la MRC waliokamatwa wachunguzwa

Na MOHAMED AHMED POLISI katika kaunti ya Mombasa wanachunguza nia ya watu 11 waliokamatwa Ijumaa alasiri kwa kushukiwa kuwa wanachama wa...

Uhuru aondoa amri ya kutoingia na kutoka kaunti tano zilizofungwa

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta Leba Dei ametangaza kuondoa amri ya ama kuingia au kutoka kaunti tano zilizotajwa kuwa hatari katika...