• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 9:01 PM

IG aunda kikosi kuchunguza mauaji ya wanne

Na NICHOLAS KOMU KUNDI maalumu la wapelelezi lililoundwa kuchunguza kutoweka kwa wanaume wanne marafiki na hatimaye kuuawa kwa wawili...

Shule za kibinafsi zalalamikia ubaguzi

Na WANDERI KAMAU CHAMA cha Wamiliki wa Shule za Kibinafsi nchini (KPSA) kimelalamika kuwa wanafunzi katika shule hizo walibaguliwa...

Mwingereza ataka jaji ajiondoe kwenye kesi ya ulezi wa mtoto

Na BRIAN OCHARO MWANAMUME ambaye ni raia wa Uingereza, anataka jaji wa Mombasa ajiondoe kwenye kesi inayohusu mzozo wa ulezi wa mtoto...

Bei ya majanichai imepungua kwa asilimia 12 – KTDA

Na IRENE MUGO HALMASHAURI ya Kusimamia Majanichai Kenya imetangaza kwamba bei ya mazao hayo imepungua kwa asilimia 12 duniani kutokana...

Wakili kortini kwa madai ya kulaghai mayatima Sh100m

Na RICHARD MUNGUTI WAKILI alishtakiwa jana pamoja na mfanyabiashara bwanyenye kwa kuwalaghai mayatima kampuni ya wazazi wao yenye...

Onyo kuhusu mafuriko eneo la Ziwa Victoria

Na WAANDISHI WETU WAKAZI wa maeneo yanayokumbwa na hatari ya mafuriko hasa Nyanza na Budalangi na pia eneo la Magharibi mwa Kenya...

RAMADHAN: Kufunga Ramadhani si mateso bali zawadi kwa muumini

Na NUR SAID ENYI mlioamini imefaradhishwa kufunga juu yenu kama walivyofaradhishiwa waliokuwepo kabla yenu ili muweze kupata uchaji...

Watatu wafariki lori na matatu zikigongana mjini

Na WACHIRA MWANGI WATU watatu walifariki jana kwenye ajali iliyotokea katika Barabara ya Makupa, Kaunti ya Mombasa. Kamanda wa...

Msongamano wa wagonjwa wazidi hospitalini

Na STEVE NJUGUNA AKINA mama wanaojifungua wamelalamikia msongamano wa wagonjwa kwenye wodi zao katika hospitali ya Kaunti ya Nyahururu,...

Nani huyo kawanyonga?

STANLEY NGOTHO NA SIMON CIURI MIILI ya watatu kati ya wanaume wanne waliotoweka mjini Kitengela, Kaunti ya Kajiado mnamo Aprili 19,...

WANDERI KAMAU: Raila ni mdau wa kipekee katika historia ya Kenya

Na WANDERI KAMAU WAKATI mfumo wa kisasa wa siasa ulipoanza katika ukanda wa Mashariki ya Kati karibu karne 15 zilizopita, sifa kuu...

Mombasa Cement na NMG zashirikiana kuinua elimu Kilifi kupitia mradi wa NiE

Na WACHIRA MWANGI SHULE kadhaa katika Kaunti ya Kilifi zimepongeza ushirikiano kati ya Shirika la Habari la Nation (NMG) na Kampuni ya...