• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 9:01 PM

Serikali yazima Mt Kenya TV kwa kupotosha watoto

Na SAMMY WAWERU MAWIMBI ya runinga ya Mt Kenya inayomilikiwa na M/s Slopes Media House Ltd Jumatano yameondolewa hewani kwa kupeperusha...

Jina la Martha Koome latua bungeni

NA CHARLES WASONGA Rais Uhuru Kenyatta Jumatano amewasilisha jina la Jaji Mkuu mteule Martha Koome katika Bunge la Kitaifa. Spika...

Wawili wanaswa na noti feki za Sh750 milioni

WINNIE A ONYANDO Washukiwa wawili wa pesa bandia ya Ksh750 milioni wamekamatwa. Polisi wanaendelea kufanya upelelezi kuhusiana na...

Raila amwomboleza mwanahabari shupavu Philip Ochieng’

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ODM Raila Odinga ameomboleza kifo cha mwanahabari mkongwe Philip Ochieng’ akimtaja kama mtaalamu...

Madaktari walioenda Cuba warejea Kenya kuanza kazi

Na MARY WAMBUI MADAKTARI 48 raia wa Kenya waliotumwa nchini Cuba na Wizara ya Afya kwa masomo ya uzamili kuhusu Tiba ya Jamii sasa...

Shughuli za ardhi kufanyika kidijitali

NA PSCU RAIS Uhuru Kenyatta jana alizindua mfumo wa dijitali wa kusimamia rekodi za ardhi zikiwemo hati miliki. Mfumo huo unaofahamika...

Wakenya wamwomboleza Philip Ochieng’

NA NYAMBEGA GISESA Wakenya wanaendelea kumwomboleza mhariri na mwandishi mashuhuru wa Makala Bw Philip Ochieng. Bw Ochieng, 83 ambaye...

JSC yateua Martha Koome kuwa Jaji Mkuu

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Martha Koome anakaribia kuandikisha historia kuwa Jaji Mkuu wa kwanza mwanamke nchini, baada ya Tume ya Huduma...

TANZIA: Mhariri wa zamani wa Taifa Leo afariki

Na LEONARD ONYANGO MHARIRI msanifishaji wa zamani wa gazeti la Taifa Leo Dennis Geoffrey Mauya, maarufu Mauya Omauya, amefariki baada ya...

Kesi ya ubakaji dhidi ya mbunge kusikizwa hadharani

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Mbunge wa Imenti ya kati Gideon Mwiti aliyeshtakiwa kwa ubakaji miaka sita iliyopita anataka kesi hiyo...

Mahangaiko tele familia zilizofurushwa katika ardhi zao zikiishi shuleni

Na George Munene MAMIA ya familia zilizofurushwa kutoka nyumba zao eneo la Makina, Kaunti ya Embu wiki jana, sasa zinaishi kwenye makao...

Ulipaji fidia kwa wakazi wa Lamu ni kabla ya Juni

Na ANTONY KITIMO Wakazi wa Lamu walioathiriwa na ujenzi wa bandari sasa wanaweza kutabasamu baada ya Mamlaka ya Bandari ya Kenya (KPA)...