• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 7:52 PM

Mvutano kati ya Ottichillo na naibu wake wachacha

Na DERICK LUVEGA MVUTANO kati ya Gavana wa Vihiga Wilber Ottichillo na naibu wake, Dkt Patrick Saisi, unaendelea kuchacha.Hii ni baada...

Matumaini kaunti ikisaka soko la maembe ng’ambo

NA STEPHEN ODUOR Serikali ya kaunti ya Tana River imeanza kuweka mikakati itakayoiwezesha kuuza zao la maembe katika masoko ya nchi za...

Muturi na Lusaka wapokea ripoti kuhusu Mswada wa BBI

Na CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi na mwenzake wa Seneti Kenneth Lusaka Jumatano walipokea ripoti kuhusu mswada...

Wezi wa mifugo sasa wageukia teknolojia kuiba, kuhepa polisi

BARNABAS BII Na FLORA KOECH Majangili katika maeneo yanayoathiriwa na visa vya wizi wa mifugo Kaskazini mwa Bonde la Ufa, wamegeukia...

King’ang’i na wanahabari tisa waachiliwa baada ya kulala seli

Na George Munene MBUNGE wa Mbeere Kusini, Bw Geoffrey King’ang'i, pamoja na wanahabari tisa waliokamatwa Jumamosi katika eneo la...

Nyoro, Wamatangi walaumiana kuhu utafunaji wa pesa za corona

Na KAMAU MAICHUHIE MZOZO wa uongozi umechipuka kati ya Gavana wa Kiambu, James Nyoro, na Senata Kimani Wamatangi kuhusu madai ya ufujaji...

Knut yasaka pesa za kuandaa kongamano la wajumbe

Na VITALIS KIMUTAI CHAMA cha Kitaifa cha Walimu (Knut) kinatafuta pesa za kuandaa kongamano la Kitaifa la Wajumbe (NDC) ili kuchagua...

Kilio serikali za kaunti zikikosa kulipa mishahara

Na WAANDISHI WETU WAFANYAKAZI katika baadhi ya serikali za kaunti wanateseka baada ya kukosa mishahara kwa miezi kadhaa. Wengi...

Msichana akiri kubadilisha vipimo vya mimba kuokoa aliyemnajisi

Na STEPHEN ODUOR Familia moja enee la Tana Delta imeachwa na mshtuko baada ya kugundua kwamba mtoto wao ambaye alikuwa amenajisiwa...

Hospitali ya Tigoni yatoa hewa ya oksijeni bure kwa wagonjwa

Na LAWRENCE ONGARO KAUNTI ya Kiambu inaendelea kuwapa wagonjwa wa Covid-19 oksijeni ya bure huku walioathirika wakifurika katika...

KEMSA: Murathe apanga kujitetea mbele ya kamati

Na BENSON MATHEKA BAADA ya kushutumiwa vikali kwa kuhusishwa na sakata ya mamilioni ya pesa katika Mamlaka ya kusambaza dawa nchini...

Maiti ya ajuza aliyefariki 2004 hatimaye yazikwa

Na PIUS MAUNDU MAITI ya ajuza mmoja aliyefariki 17 iliyopita ilizikwa Jumamosi katika kijiji cha Mbusyani, Kaunti ya Machakos katika...