• Nairobi
  • Last Updated May 19th, 2024 9:01 PM

Jaji ataka mkewe alipwe mshahara akiwa Jaji Mkuu

Na RICHARD MUNGUTI Jaji David Njagi K Marete, aliyehojiwa jana kwa nafasi ya Jaji Mkuu, aliomba serikali iwe ikimlipa mkewe mshahara kwa...

Msako wa baharini wapunguza samaki

Na KALUME KAZUNGU UHABA wa samaki unashuhudiwa kwenye miji mbalimbali ya Kaunti ya Lamu tangu mwezi mtukufu wa Ramadhani ulipoanza rasmi...

NASAHA: Tujipinde zaidi kwa uchaji Mungu katika Mwezi huu wa Ramadhani

Na ATHMAN FARSI Leo naomba tuangazie hili swala la amali bora zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mijadala itakuwepo kuwa ni...

Mwanachuo akana kuua familia yake

SIMON CIURI na MERCY MWENDE MWANAFUNZI wa chuo kikuu, Lawrence Warunge, aliyehusishwa na mauaji ya familia yake ya watu wanne na mjakazi...

Matokeo ya somo la Kiswahili yaimarika pakubwa

Na LEONARD ONYANGO WATAHINIWA walifanya vyema katika somo la Kiswahili kwenye Mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) wa mwaka huu...

Mabinti wabwaga wavulana

Na BENSON MATHEKA MATOKEO ya mtihani wa kitaifa wa Darasa la Nane (KCPE) wa 2020 yaliyotolewa jana, yalikuwa na maajabu ya aina yake...

Wakulima wa Mataara wapinga uchaguzi wa ghafla

Na LAWRENCE ONGARO WAKULIMA wa majanichai kutoka eneo la Mataara, Gatundu Kaskazini, wamepinga uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Jumamosi,...

Wakazi wa Gatundu Kaskazini wataka walipwe fidia

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa Gatundu Kaskazini waliandamana mnamo Jumanne hadi katika bwawa la Kariminu wakitaka walipwe kiasi cha fedha...

Magavana wahepa suala la ubadhirifu wa pesa za corona

Na VALENTINE OBARA SERIKALI za Kaunti zimedai hazijaona ripoti ya Mhasibu Mkuu wa fedha za serikali kuhusu jinsi magavana walivyosimamia...

Wizara yataka Wakenya waliopoteza ajira walipwe na serikali

Na SAMWEL OWINO WIZARA ya Leba inataka sehemu ya mkopo wa Sh257 bilioni ambazo Kenya ilipata kutoka kwa Shirika la Fedha Duniani (IMF),...

Jaji Mkuu: Uamuzi wa usiku watatiza Koome

Na RICHARD MUNGUTI JAJI Martha Koome jana alijitetea mbele ya Tume ya Huduma za Mahakamani (JSC), kuhusu uamuzi aliotoa usiku na...

HAKUNA PUMZI

CECIL ODONGO NA CHARLES WASONGA WAKENYA wanakabiliwa na balaa kuu baada ya serikali jana kukosa kushusha bei ya mafuta, na wakati huo...