• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 4:42 PM

Afueni ya wamiliki wa baa Mlima Kenya washukiwa wa wizi wa pombe wakitiwa mbaroni

NA LABAAN SHABAAN WAMILIKI wa baa katika Kaunti za Meru, Tharaka Nithi, Embu, Laikipia na Kirinyaga wana sababu ya kutabasamu baada ya...

Malala halali: UDA wafungua ofisi mpya Kisumu kunasa wafuasi 200,000

NA LABAAN SHABAAN CHAMA tawala cha United Democratic Alliance kimefungua ofisi mpya Kisumu Magharibi ili kunasa wafuasi katika ngome ya...

Familia Kilifi zashauriwa zikae pamoja maradhi ya kiakili yakiongezeka

NA ALEX  KALAMA Idara ya Afya Kaunti ya Kilifi imedokeza kuwa mwaka huu pekee, visa zaidi ya 4,000 vya maradhi ya akili vimeripotiwa,...

Wazee kuuliza ‘miungu’ kabla ya kuamua sehemu ya kutakasa msitu wa Shakahola

NA MAUREEN ONGALA WAZEE wa Kaya za Mijikenda, watategemea mwongozo wa miungu kuamua sehemu halisi ambapo matambiko yatafanywa kutakasa...

Hofu fisi wakizurura vijijini

NA GEORGE ODIWUOR Vikundi vya fisi wamevamia baadhi ya vijiji vya Mbita kaunti ya Homa Bay na kuua mifugo na kusababisha taharuki kwa...

Jinsi walinzi wa Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Serikali walivyomuangamiza mwanamume aliyewavamia barabarani

KITAVI MUTUA na LABAAN SHABAAN WALINZI wawili wa mshauri wa Rais William Ruto kuhusu Usalama wa Kitaifa, Monica Juma, walishambuliwa...

Vyama 38 vipya mbioni kusajiliwa kupigania mabilioni kutoka kwa Hazina ya Vyama vya Kisiasa

NA MOSES NYAMORI ONGEZEKO la usajili wa vyama vipya vya kisiasa kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2027, limeonyesha jinsi mabilioni ya pesa...

Jamii ya Wanandi yaitaka Uingereza kuilipa fidia ya Sh20 bilioni kutokana na mateso ya kikoloni

STANLEY KIMUGE NA BARNABAS BII IKIBAKI wiki moja kabla ya Mfalme Charles III wa Uingereza kuzuru nchini Kenya, wazee wa jamii ya Nandi...

Azimio waendelea kumlima Gavana wa Turkana kufuatia kufurushwa kwa Raila katika hafla

NA LABAAN SHABAAN KIONGOZI wa Chama Cha Wiper Kalonzo Musyoka na wa Narc Kenya Martha Karua wamezidi kukeketwa maini na tukio la...

Rais Ruto ‘aahirisha’ El Nino, akisema haitanyesha kama ilivyotabiriwa

NA LABAAN SHABAAN RAIS William Ruto Jumapili, Oktoba 22, 2023, alisema kuwa nchi haitashuhudia mvua ya El Niño kama ilivyotabiriwa na...

Ugali Pambana: Wanachuo sasa wala ugali kwa harufu ya nyama kupambana na hali ngumu ya maisha

NA LABAAN SHABAAN MTAA wa KM, mkabala na Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU), viungani mwa jiji la Nairobi, ni kituo cha wanafunzi cha...

Mtu mmoja afa kwenye ajali mbaya ya barabarani Nakuru

NA JOHN NJOROGE MTU mmoja alifariki kufuatia ajali mbaya ya barabarani iliyotokea eneo la Twin Bridge, kwenye barabara kuu ya...