• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

Ni kweli Mackenzie anataseka gerezani, tume ya haki yaambia mahakama

NA MKAMBURI MWAWASI TUME ya Kitaifa ya Haki za Binadamu (KNHCR) imekubaliana na mshukiwa mkuu wa vifo vya Shakahola, Bw Paul Mackenzie,...

Nyanya, 71, akiri kuuza mihadarati Kasarani

Na JOSEPH NDUNDA MWANAMKE mwenye umri wa miaka 71 aliyekamatwa akiuza chang’aa, bangi na tembe zinazoshukiwa kuwa mihadarati nyumbani...

Sponsa ananipa kila kitu na sasa anataka nimzalie mtoto, mwaonaje?

Nina umri wa miaka 32. Mpenzi wangu ana familia. Tumekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu sasa anataka nimpe mtoto. Amegharamia matumizi...

Gavana Mutula achemkia wanaobwabwaja siri za serikali yake

NA PIUS MAUNDU GAVANA Mutula Kilonzo Junior wa Makueni, jana alitoa onyo kali kwa wafanyakazi wa serikali hiyo ambao wamekuwa wakiweka...

Serikali yachunguza ‘adui wa ndani’ katika mashambulizi ya kigaidi Lamu

NA KALUME KAZUNGU SERIKALI inachunguza uwezekano kuwa visa vya ukosefu wa usalama Kaunti ya Lamu vinachangiwa na masuala ya ndani ya eneo...

Raha ya watahiniwa wa KCSE 2023 masomo ya lazima yakipunguzwa

Na DAVID MUCHUNGUH ZAIDI ya wanafunzi milioni tano watafaidi kutokana na mfumo mpya wa uorodheshaji wanafunzi katika mtihani wa kitaifa wa...

Kiwanda cha sukari chalilia wakulima wapeleke miwa ili kisisambaratike

KNA na LABAAN SHABAAN Huenda Kiwanda cha Sukari cha South Nyanza (SONY) kikafungwa kwa sababu ya kukosa miwa ya kutosha kwani huchakata...

Mkono wa vidume wa kisiasa kwenye masaibu ya Kawira

GITONGA MARETE na LABAAN SHABAAN Vigogo wa kisiasa Mlima Kenya Naibu Rais Rigathi Gachagua na Waziri wa Usalama Kithure Kindiki...

Jinsi waumini walioenda kesha kanisani walivyoporwa saa tisa usiku na genge lenye bunduki

Na MERCY KOSKEI Kile kilichoanza kama ibada katika kanisa la Joy Praise Ministry katika eneo la Heshima, Bahati, Kaunti ya Nakuru Ijumaa...

Kisura analalamika simtoshelezi chumbani

SHANGAZI; Nina mpenzi lakini kuna jambo linalotishia uhusiano wetu. Kila tukikutana kufurahia mahaba huwa analalamika kuwa simtoshelezi....

Wakenya kuhudumiwa matatizo ya afya wakiwa nyumbani, Ruto atangaza

NA KEVIN CHERUIYOT RAIS William Ruto Jumatatu Septemba 25, 2023 alizindua vifaa vya kutoa huduma za kiafya zitakazotolewa kwa wahudumu wa...

Kahawa yageuka kuwa chungu kwa Gachagua

NA WANDERI KAMAU NAIBU Rais Rigathi Gachagua kwa mara nyingine amekiri kwamba serikali ya Kenya Kwanza inaonekana kulemewa na juhudi za...