• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 7:50 PM

Jinsi mwanafunzi wa kike alivyoporwa na wanaume wawili waliotaka ‘kumuombea’

Na JOSEPH NDUNDA “MANABII” wawili feki waliodaiwa kumwibia mwanafunzi mmoja wa chuo simu ya rununu na Sh1,200 wakijifanya kumwombea...

Mwili wa mwanamume wafukuliwa kinyume na itikadi za Kiislamu kutatua mzozo wa uzazi

NA TOM MATOKE MWILI wa mfanyabiashara kutoka Kaunti ya Nandi aliyeaga dunia katika hali tatanisha miaka mitatu iliyopita, umelazimika...

Wafanyakazi wa Delmonte wapata nyongeza ya mishahara kukabiliana na hali ngumu ya maisha

NA LAWRENCE ONGARO KAMPUNI ya Delmonte ilifanya makubaliano na wafanyakazi zaidi ya 6,500 kuwapa nyongeza ya mishahara, hii ikiwa habari...

Serikali yatafuta Sh162 bilioni za matumizi miezi miwili tu baada ya kupitisha bajeti ya Sh3.74T

NA JULIANS AMBOKO HUENDA serikali ikaendelea kuwatoza Wakenya ushuru zaidi ili kulipia mishahara na kufadhili bajeti ya ziada, baada yake...

Kichuna Huddah Monroe asema Ruto atakuwa rais mbovu zaidi katika historia ya Kenya

Na MWANDISHI WETU SOSHOLAITI Huddah Monroe amedai kuwa Rais William Ruto atakuwa rais mbovu zaidi katika historia ya Kenya. Monroe...

Eneobunge lisilo na hata inchi moja ya lami tangu uhuru

NA KALUME KAZUNGU HUKU maeneo mengi ya Kenya yakijivunia kuboreshwa kwa miundomsingi ikiwemo barabara, reli ya kisasa, viwanja vya ndege...

Majogoo wa jiji Sakaja na Babu Owino wapapurana siku nzima, kampeni za 2027 zimeanza?

NA WANDERI KAMAU WANASIASA tofauti nchini wanaonekana kuanza kampeni za mapema kuhusu uchaguzi mkuu wa 2027, wengi sasa wakianza...

Nina mpenzi wa dhati ila napenda kuonjaonja nje

SHANGAZI, Nina mpenzi ambaye nampenda kwa moyo wangu wote. Tatizo ni kwamba nimezoea kulamba asali nje. Nahisi vibaya kwa kumkosea na...

Wakenya sasa wakimbilia Tanzania kutafuta petroli bei nafuu

NA WAANDISHI WETU WAENDESHAJI magari mjini Namanga sasa wamegeukia kununua mafuta katika taifa jirani la Tanzania huku bei ghali za bidhaa...

Kenya yapokea vifaa vya kidijitali kuimarisha uangalizi wa maradhi mipakani

NA MARY WANGARI JUHUDI za kukabiliana na milipuko na majanga ya maradhi mbalimbali yanayoambukizwa kupitia maeneo ya mipaka nchini...

Mackenzie kuendelea kufungiwa ndani serikali ikisema uchunguzi haujakamilika

NA BRIAN OCHARO MHUBIRI anayehusishwa na vifo vya vya Shakahola, Paul Mackenzie, na washukiwa wenzake 29 wataendelea kuzuiliwa na polisi...

Ghasia zazuka katika hafla ya kanisa la Gavana

NA DAVID MUCHUI VURUGU zilizuka Jumapili Septemba 17, 2023 katika kanisa la Gavana wa Meru Kawira Mwangaza wakati wa hafla ya kutoa msaada...