• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

Tanzania yaambia raia waweke akiba nzuri ya mchele na mafuta sababu ya hali ngumu

Na HAMIDA SHARIFF Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Dkt Ashatu Kijaji amesema kupanda kwa bei ya mchele na mafuta ya...

Viongozi Waluo watakiwa ‘waache wivu’ kwa walioteuliwa kuhudumu serikalini

CHARLES WASONGA na KNA KIONGOZI wa wengi katika Bunge la Kaunti ya Kisumu Seth Ochieng’ Kanga anaendelea kushutumiwa kwa kumshambulia,...

Mke wa MCA Trans Nzoia alivyotapeliwa nusu milioni akisaka nafasi za kazi polisi

Na EVANS JAOLA Maafisa wa upelelezi kutoka DCI wamefaulu kunasa washukiwa wa genge la matapeli wanne wanaohangaisha wakazi katika Kaunti...

Rotich atabasamu DPP akikataa kuhoji mashahidi kesi ya Sh63 bilioni

NA RICHARD MUNGUTI KESI ya madai ya ubadhirifu wa Sh63 bilioni dhidi ya aliyekuwa waziri wa Fedha Henry Rotich kuhusiana na mabwawa ya...

Wakazi wa Taita Taveta wataka Ruto atimize ahadi alizowapa

NA LUCY MKANYIKA Huku Rais William Ruto akikamilisha mwaka mmoja tangu achukue hatamu ya uongozi, wakazi wa Taita Taveta wangali...

Wafanyakazi 7,000 wahofia ajira zao serikali ikibinafsisha bandari

Na ANTHONY KITIMO WAFANYAKAZI zaidi ya 7,000 wanaofanya kazi katika Mamlaka ya Bandari za Kenya (KPA) huenda wakapoteza kazi...

RISASI YA SITA? Familia ya Raila yasisitiza hatastaafu siasa

Na GEORGE ODIWUOR FAMILIA ya Jaramogi Oginga Odinga imeanzisha mjadala mpya kuhusu ubabe wa kisiasa Luo Nyanza baada ya dada mdogo wa...

Huyu anataka tupime ilhali niliokuwa nao walichovya bila kinga

SHANGAZI, Nimepata mwanamume mpenzi wa dhati aliye tayari kuwa mwenzangu maishani. Lakini kuna changamoto. Anasisitiza tupimwe lakini...

Maafisa wa NIS washtakiwa kunyang’anya mfanyabiashara dola za Kimarekani 160,000

Na RICHARD MUNGUTI MAAFISA watatu wa polisi kutoka kitengo cha Ujasusi (NIS) wameshtakiwa kumnyang’anya kimabavu mfanyabiashara Dola...

Shule zalia shida Serikali ikikosa kuzitumia pesa

Na DAVID MUCHUNGUH WIKI tatu baada ya shule kufunguliwa kwa muhula wa tatu, Wizara ya Elimu bado haijatuma pesa kwa shule za...

Vilio vyazuka kuhusu masharti mapya ya Mpango wa Elimu Finland

TITUS OMINDE na BARNABAS BII MZOZO kuhusu mpango tata wa masomo katika mataifa ya Finland na Canada ulioanzishwa na serikali ya Kaunti ya...

Kemsa kuteketeza dawa za Sh1.8 bilioni zilizoharibika

Na ANTHONY KITIMO Mamlaka ya Kusambaza Dawa Nchini (KEMSA) imesema kuwa itaharibu dawa ambazo muda wao wa matumizi umepitwa na wakati na...