• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 3:09 PM

Viongozi Mlima Kenya waendeleza uhasama dhidi ya wanahabari

Na MWANGI MUIRURI NAIBU Rais Rigathi Gachagua tangu atoe matamshi ya kuwakaripia wanahabari, ameigwa na wenzake katika siasa na...

Kioja Gachagua akimsalimu Raila baada ya kuapa awali kutofanya hivyo

Na WANGU KANURI NAIBU wa Rais Rigathi Gachagua alikiuka 'kiapo' chake baada ya kumsalimu kiongozi wa Azimio Raila Odinga kwa mkono...

Vijana wa jamii ya Wapemba washauriwa kujaribu bahati yao jeshini

NA MAUREEN ONGALA VIJANA kutoka kwa jamii ya Wapemba katika eneo la Pwani wameshauriwa kujitokeza na kushiriki katika zoezi la usajili...

Mwenyekiti wa ‘Shamba la Mauti’ azikwa

NA MWANGI MUIRURI ALIYEKUWA Mwenyekiti wa kampuni ya kununua na kuuza mashamba ya Embakasi Ranching James Njoroge amezikwa Jumanne...

Nimeolewa mke wa pili lakini mume hanidekezi hata

SHANGAZI AKUJIBU: Nimeolewa mke wa pili na mume wangu anagharamia mahitaji yote ya nyumbani. Hata hivyo, mara nyingi huwa na mkewe wa...

Mshukiwa wa wizi alivyohangaisha kikosi cha DCI kichakani kwa saa sita

Na MWANGI MUIRURI  Afisa wa kitengo cha GSU aliyetambuliwa kama Isaac Wanzala na anayeshukiwa kunyemelea kambi na kuiba bunduki mbili...

Dalili zajitokeza huenda Karua yupo kwenye kibaridi Azimio

NA WANDERI KAMAU DALILI zimeanza kujitokeza kuwa huenda kiongozi wa Narc-Kenya, Bi Martha Karua hafahamu vyema hatima yake ya kisiasa...

Wetang’ula atetea kusafirisha wafisadi mbinguni

CHARLES WASONGA na DICKSON MWITI SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula ametetea mbinu kali ambazo Rais William Ruto ametangaza...

Biashara ya nyama inachangia mazingira kuzorota, kongamano laambiwa

MARY WANGARI NA KNA KUNDI la watetezi wa Haki za Wanyama Duniani limetoa wito kwa mataifa ya Afrika kuangazia maslahi ya mifugo katika...

TUONGEE KIUME: Usichotakiwa kufanya ukiwa mwanamume usiye na ajira

Na KELVIN KAGAMBO, ripota Mwananchi Communications Limited Katika kitabu chake cha The End of Jobs, milionea kijana Taylor Pearson...

Mabilioni yamwagika kukabili mabadiliko ya tabianchi Afrika

NA MARY WANGARI MATAIFA barani Afrika yakiongozwa na Kenya huenda yakanufaika pakubwa kutokana na uwekezaji wa mabilioni ya pesa kutoka...

Kampuni iliyomshtaki Amadi kuhusu sakata ya dhahabu yahofia kesi inavurugwa

Na RICHARD MUNGUTI KAMPUNI ya Dubai iliyomshtaki Msajili wa Mahakama Anne Amadi kwa dai la ulaghai wa Sh91.4 milioni imedai kuna njama...