• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 6:55 PM

Ruto awakausha madaktari KMPDU ikiapa kuendeleza mgomo

NA TITUS OMINDE RAIS William Ruto amepuuzilia mbali matakwa ya madaktari nchini, huku akiwataka kusahau nyongeza ya mishahara...

Mpango kuboresha kilimo cha mboga za kienyeji

KNA Na CHARLES WASONGA SHIRIKA la Utafiti wa Kilimo na Ufugaji (Kalro) kwa ushirikiano na wadauhusika katika sekta ya kilimo,...

Pigo kwa madaktari wanaogoma Ruto akisema serikali haina pesa

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto amewaambia madaktari wanaogoma kwamba serikali haina pesa za kuwaongezea mishahara na marupurupu...

Wanjigi aitaka jamii ya Dholuo kuendea urais au unaibu rais 2027

NA WYCLIFFE NYABERI KIONGOZI wa Chama cha Safina, Jimi Wanjigi ameitaka jamii ya Dholuo isikubali chochote isipokuwa nafasi ya Rais au...

Serikali kuanzisha aina mpya ya pombe za bei nafuu

MWANGI MUIRURI Na CHARLES WASONGA TANGAZO la Naibu Rais Rigathi Gachagua kwamba serikali itaanzisha aina mpya za pombe za bei nafuu...

Sheria mpya kulainisha utoaji leseni kaunti zote

KNA Na CHARLES WASONGA WAFANYABIASHARA kote nchini hivi karibuni watatumia mfumo mmoja kupata leseni kuendeshea biashara, ikiwa mswada...

Serikali yaambia Uhuru: Tumia ile afisi ya Kibaki lau sivyo usahau kulipiwa kodi

NA DAVID MWERE MVUTANO unatokota baina ya serikali ya Rais William Ruto na aliyekuwa kiongozi wa taifa Uhuru Kenyatta kuhusu chaguo la...

Polisi shujaa aliyesombwa na mafuriko akiokoa raia Muthurwa bado hajapatikana

Na MERCY KOSKEI FAMILIA ya polisi aliyesombwa na mafuriko jijini Nairobi baada ya mvua kubwa kunyesha, inaitaka serikali kuongeza juhudi...

Mnataka nijiuzulu? Mtasubiri sana, Nakhumicha aambia wakosoaji

NA SHABAN MAKOKHA WAZIRI wa Afya, Susan Nakhumicha, amewahakikishia Wakenya kwamba mazungumzo baina ya serikali na wahudumu wa afya...

Serikali mbioni kununua silaha mpya za kisasa kukabili ongezeko la uhalifu

NA STEVE OTIENO KENYA imo mbioni kununua silaha za kisasa za kivita kukabiliana na ongezeko la uhalifu nchini. Wiki iliyopita, Waziri wa...

Si mbolea feki tu, dawa za kupulizia mimea pia zimepatikana kuwa na sumu

NA FRANCIS MUREITHI HUKU serikali ikikiri kwamba wakulima waliuziwa mbolea ghushi mwezi jana, uchunguzi mpya unaonyesha kuwa wanakodolea...

Ni kweli, wakulima wameuziwa mbolea feki, Serikali yaungama ikiahidi kuishtaki kampuni

Na FATUMA BARIKI Serikali sasa imekiri kwamba mbolea isiyo ya viwango sahihi vya ubora ilisambaziwa wakulima. Katika taarifa kwa...