• Nairobi
  • Last Updated June 2nd, 2023 8:58 PM

Rais Biden aanguka baada ya kuongoza hafla ya kufuzu kwa wanajeshi

Na MASHIRIKA RAIS wa Amerika Joe Biden mnamo Alhamisi alijikwaa na kuanguka baada ya kuongoza hafla ya kufuzu kwa wanajeshi katika Chuo...

Wasioonyesha uzalendo kuadhibiwa nchini Zimbabwe

NA KITSEPILE NYATHI HARARE, ZIMBAMBWE BUNGE la Zimbabwe mnamo Jumatano lilipitisha sheria yenye utata ambayo inalenga kuwaadhibu raia...

Amerika yaadhibu spika wa Uganda kwa kupitisha sheria inayoharamisha ushoga na usagaji

NA MERCY KOSKEI AMERIKA imefutilia mbali visa ya spika wa bunge la kitaifa wa Uganda Anita Among, baada ya kupitisha sheria za...

Museveni asaini mswada ambao unapinga ushoga

NA DAILY MONITOR KAMPALA, UGANDA RAIS Yoweri Museveni wa Uganda jana alitia saini mswada tata unaopinga ushoga na unaopendekeza...

Seneta Onyonka: Rais Ruto yafanye magazeti kuwa rafiki utajua mahangaiko ya Wakenya  

  NA SAMMY WAWERU SENETA wa Kisii Richard Onyonka amejiunga na kundi la viongozi wa kisiasa wanaopinga kupitishwa kwa Mswada wa...

Babu Owino aorodheshwa mbunge bora zaidi katika utendakazi

Na WANGU KANURI BABU OWINO, mbunge wa Embakasi Mashariki aliongoza orodha ya wabunge 20 walioratibiwa katika utendakazi wao miezi minane...

Akaunti za Pasta Ezekiel Odero kufunguliwa

Na RICHARD MUNGUTI MHUBIRI Ezekiel Ombok Odero wa Kanisa la New Life Church and Prayer Center, ana kila sababu ya kutabasamu baada ya...

Kenyatta: Ningali kiongozi wa Jubilee

NA SAMMY WAWERU MVUTANO wa uongozi katika chama cha Jubilee unaendelea kutokota Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akiwataka wapinzani wake...

Raila: Uhuru ni shujaa kwa kuhepa vitisho na kuandaa mkutano

Na WANGU KANURI KINARA wa upinzani, Raila Odinga amemshukuru aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta kwa kusimama imara na kuhepa vitisho vyote...

Kioni: Wabunge wa Azimio waliuza uspika bungeni Sh50

NA SAMMY WAWERU KATIBU Mkuu chama cha Jubilee Jeremiah Kioni amedai baadhi ya wabunge Azimio waliuza wadhifa wa spika, anaosema...

Jina la Mackenzie lagonga mawakili kama radi kortini

Na RICHARD MUNGUTI KUTAJWA kortini kwa jina la muhubiri Paul Mackenzie anayehusishwa na mauaji ya halaiki ya watu katika shamba la...

Mashambulio makali nchini Sudan mahitaji ya chakula yakiongezeka

NA MASHIRIKA KHARTOUM, SUDAN MASHAMBULIO makali ya anga yametokea maeneo ya kusini mwa jiji kuu la Sudan, Alhamisi huku mapigano...