• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 8:55 PM

Maandamano yachacha Nigeria kupinga matokeo

NA MASHIRIKA ABUJA, NIGERIA MAELFU ya wafuasi wa upinzani nchini Nigeria wanaandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais. Maelfu...

Mabadiliko ya tabianchi yaweka Afrika katika hatari ya janga la malaria, kipindupindu

NA PAULINE ONGAJI [email protected] KIGALI, RWANDA BARA la Afrika linakumbwa na hatari ya kukabiliwa na janga la maradhi...

Wajumbe wa kongamano la AHAIC washiriki hafla ya matembezi siku ya kutotumia magari nchini Rwanda

NA PAULINE ONGAJI KIGALI, RWANDA KONGAMANO la Kimataifa kuhusu ajenda ya afya barani Afrika (AHAIC 2023) litang'oa nanga rasmi Jumanne...

Mapigano kati ya wanajeshi na M23 yanaendelea kaskazini magharibi mwa Goma

NA MASHIRIKA KINSHASA, DRC MAPIGANO makali kati ya kati ya jeshi la Congo na M23 yanaendelea kati ya kilomita 25 hadi 70 kaskazini...

Upinzani nchini Nigeria wapinga matokeo ya urais

NA MASHIRIKA ABUJA, NIGERIA VYAMA vya upinzani nchini Nigeria vikiongozwa na chama cha Peoples Democratic Party (PDP) vimepinga matokeo...

Bola Tinubu wa chama tawala APC achaguliwa kuiongoza Nigeria

AFP Na MOHAMMED MOMOH LAGOS, NIGERIA CHAMA tawala nchini Nigeria cha All Progressives Congress (APC) kitasalia mamlakani baada ya...

Tinubu achukua uongozi wa mapema kura za Nigeria

NA AFP LAGOS, NIGERIA NIGERIA imetangaza matokeo ya mwanzo baada ya uchaguzi wenye ushindani mkali katika taifa lenye idadi kubwa ya watu...

Shughuli ya kuhesabu kura yaanza Nigeria

NA AFP LAGOS, NIGERIA UHESABU wa kura uliendelea jana Jumapili nchini Nigeria, siku moja baada ya raia nchini humo kushiriki kwenye...

Tahadhari uchaguzi Nigeria ukianza leo Jumamosi

NA AFP ABUJA, NIGERIA SERIKALI ya Nigeria imeamuru kufungwa kwa mipaka yake yote ya ardhini huku ikidhibiti safari za magari kufanikisha...

Mchecheto NATO ikituhumu China kusaidia Urusi kuipiga Ukraine

NA MASHIRIKA LUZHNIKI, MOSCOW KATIBU Mkuu wa Muungano wa Kijeshi wa NATO anahofia China inasaidia Urusi kushambulia Ukraine. Akiongea...

Shule 90 zafungwa baada ya mafuriko kuathiri miji

NA MASHIRIKA MAPUTO, MSUMBIJI SERIKALI ya Msumbiji imesitisha masomo kwa shule 90 za msingi na upili katika maeneo yaliyoathirika na...

Pasta afariki akiwa kwa mfungo bila maji, chakula kama Yesu

Na MASHIRIKA MAPUTO, MSUMBIJI PASTA mmoja nchini Msumbiji alifariki baada ya kuishi siku 25 bila chakula na maji katika jaribio la...