• Nairobi
  • Last Updated April 28th, 2024 10:48 AM

Shambulio la kigaidi jijini laua 9 na kujeruhi wengi

NA AFP MOGADISHU, SOMALIA TAKRIBAN watu tisa wameaga dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kwenye mashambulizi mawili ya mabomu yaliyotokea...

Kolera: Ufunguzi wa shule waahirishwa Malawi

NA ARNALDO VIEIRA LILONGWE, Malawi MALAWI jana Jumatatu iliahirisha kufunguliwa kwa shule za msingi na za upili kwa wiki mbili kutokana...

Wasafiri kutoka China kuzimwa

NA MASHIRIKA RABAT, MOROCCO MOROCCO imeweka marufuku dhidi ya wageni wanaoingia kutoka China, bila kujali uraia wao kuanzia Januari...

Kundi la ADF lazidi kutisha, UG yakiri

NA JULIUS BARIGABA KAMPALA, UGANDA UGANDA inakabiliwa na tishio kutoka kundi la kigaidi la Allied Democratic Forces (ADF), zaidi ya...

Dunia yaomboleza Papa wa zamani wa Kanisa Katoliki Benedict XVI

NA MASHIRIKA VATICAN CITY, VATICAN HALI ya majonzi imetanda kote duniani leo Jumamosi kufuatia kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Kanisa...

Aung San Suu Kyi kufungwa miaka 33 baada ya kuongezewa adhabu ya miaka saba zaidi

NA MASHIRIKA NAYPYIDAW, MYANMAR MAHAKAMA ya kijeshi nchini Myanmar imemaliza kusikiliza kesi dhidi ya kiongozi aliyeondolewa...

Tshisekedi asutwa kuingiza wageni mgogoro wa DRC

Na MASHIRIKA KINSHASA, DRC RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi, anashutumiwa kwa kuhusisha mataifa mengine katika...

Putin ashambulia Ukraine Krismasi

NA MASHIRIKA KYIV, UKRAINE VITA vinavyoendelea nchini Ukraine vilichacha hata zaidi wakati wa sikukuu ya Krismasi, licha ya Rais Vladimir...

Museveni aondoa masharti makali ya kudhibiti tishio la Ebola

NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA RAIS Yoweri Museveni wa Uganda ameondoa marufuku yote ya usafiri yaliyokuwa yamewekwa katika sehemu...

M23 yakataa kushiriki mazungumzo ya amani DRC

NA MASHIRIKA WASHINGTON DC, AMERIKA KUNDI la waasi la M23 limeonyesha hali ya kusitasita kuhusu ikiwa litashiriki kwenye juhudi za...

Wito kwa serikali za nchi za Afrika ziongeze uwekezaji katika mifumo ya afya

NA PAULINE ONGAJI KIGALI, Rwanda MAKALA ya pili ya kongamano la kimataifa kuhusu afya ya umma barani (CPHIA 2022) yalifikia...

KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Argentina yaizidi maarifa Ufaransa kupitia penalti

CHRIS ADUNGO Na GEOFFREY ANENE ARGENTINA ndio wafalme wapya wa soka duniani baada ya kufunga Ufaransa penalti 4-2 kufuatia sare ya 3-3...