• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:55 AM

Urusi yaimarisha ulinzi katika daraja la Crimea

NA MASHIRIKA MOSCOW, URUSI URUSI imeimarisha usalama katika daraja lake la pekee linaloiunganisha na eneo la Crimea, baada ya mlipuko...

Urusi yaua watu 14 mjini Zaporizhzhia

Na AFP ZAPORIZHZHIA, UKRAINE WATU 14 wameuawa katika shambulio la makombora lililotekelezwa na Urusi katika mji wa Zaporizhzhia...

Bobi Wine na Besigye washutumu Jenerali Muhoozi Kainerugaba

NA CHARLES WASONGA VIONGOZI wa upinzani nchini Uganda wamemsuta mwanawe rais wa nchi hiyo, Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba,...

Masharti makali ya kutoshiriki ngono waliopona Ebola

NA DAILY MONITOR KAMPALA, UGANDA WATU waliopona Ebola wametakiwa kusubiri hadi baada ya miezi mitatu kabla ya kushiriki ngono au...

Putin ataja maeneo 4 Ukraine kuwa ya Urusi

NA MASHIRIKA KYIV, Ukraine URUSI imedai kuwa raia wa maeneo ambayo imeteka kutoka Ukraine, wamepitisha kura ya kuwa raia wa Urusi,...

Kusikilizwa kwa kesi ya Kabuga kuanza kesho

NA AFP KIGALI, RWANDA MSHUKIWA wa ufadhili wa mauaji ya halaiki mnamo 1994 nchini Rwanda, Felicien Kabuga, kesho Alhamisi atafikishwa...

Maasi dhidi ya Putin yachacha maelfu wakitoroka Urusi

NA MASHIRIKA MOSCOW, URUSI POLISI jana Jumatatu walikabiliana na waandamanaji katika eneo la Dagestan nchini Urusi, huku pingamizi dhidi...

Ebola: Uganda yaripoti maambukizi, vifo zaidi

NA DAILY MONITOR KAMPALA, UGANDA WIZARA ya Afya nchini Uganda jana Jumatatu ilisema kuwa idadi ya vifo vilivyosababishwa na ugonjwa wa...

Ebola: Idadi ya vifo yaongezeka Uganda

NA DAILY MONITOR KAMPALA, UGANDA SERIKALI ya Uganda imesema kuwa visa vya maradhi hatari ya Ebola vimesambaa katika maeneo zaidi nchini...

Hofu Ebola ikichacha Uganda

NA AFP KAMPALA, UGANDA VISA vingine sita vya maambukizi ya Ebola vimegunduliwa nchini Uganda, Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema...

Ukraine yashtumu Urusi kwa kulenga kituo cha nyuklia

Na MASHIRIKA KYIV, UKRAINE SERIKALI ya Ukraine imeishutumu Urusi kwa shambulio katika kiwanda cha nyuklia. Rais Volodymyr Zelenskyy wa...

UN yatakiwa kuadhibu China kwa kukiuka haki

NA MASHIRIKA WANADIPLOMASIA pamoja na watetezi wa haki za binadamu, wameongeza shinikizo kwa Umoja wa Mataifa (UN) kuchukua hatua dhidi...