• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 5:07 PM

7 wauawa katika mapigano Sudan

NA MASHIRIKA KHARTOUM, Sudan WATU saba wameauawa katika mapigano mapya ya kikabila yaliyotokea kusini mwa jimbo la Blue Nile, shirika...

100 wafa, maelfu wapoteza makao katika janga la mafuriko nchini Sudan

NA MASHIRIKA KHARTOUM, SUDAN ZAIDI ya watu 100 wameuawa na maelfu ya wengine kuachwa bila makao kutokana na mafurika yaliyosababishwa...

Waingereza kupata waziri mkuu mpya Jumatatu, Boris akiondoka

NA MASHIRIKA LONDON, Uingereza RAIA wa Uingereza watajua waziri mkuu wao atakayerithi Boris Johnson, Jumatatu, wiki ijayo. Waziri...

Ujumbe wa UN kukagua kituo cha nyuklia Ukraine

NA MASHIRIKA NEW YORK, AMERIKA UMOJA wa Mataifa (UN) umetuma kikosi maalum kuchunguza na kufuatilia hali inavyoendelea katika Kituo...

Mafuriko yaua watu zaidi nchini Pakistan

NA MASHIRIKA ISLAMABAD, PAKISTAN PAKISTAN imeomba msaada zaidi kutoka kwa jamii ya kimataifa kukabili mafuriko yanayoendelea nchini...

Njaa kuzidi kuathiri Pembe ya Afrika

NA MASHIRIKA GENEVA, USWISI  NJAA itaendelea kuvamia nchi za Pembe ya Afrika inayojumuisha Kenya, Ethiopia na Somalia utafiti...

Serikali yaahidi uwajibikaji kufuatia shambulio lililoua 21

NA AFP MOGADISHU, SOMALIA WAZIRI Mkuu wa Somalia Hamza Abdi Barre ameahidi uwajibikaji kutoka kwa serikali yake kufuatia kisa ambapo...

Wasiwasi wazidi katika kiwanda cha nyuklia

NA MASHIRIKA KYIV, UKRAINE MATAIFA ya Magharibi yamesisitiza kuhusu haja ya “kuimarishwa kwa usalama” wa vituo vya nuklia...

Kabuga kushtakiwa wiki ijayo The Hague

NA AFP PARIS, UFARANSA MSHUKIWA Mkuu wa mauaji ya halaiki yaliyotokea 1994 nchini Rwanda, Felicien Kabuga, atafunguliwa mashtaka jijini...

Ruto abwaga Raila kuwa rais wa tano wa Kenya

NA BENSON MATHEKA WILLIAM Samoei Ruto, ndiye rais mteule wa tano wa Kenya baada ya kuwashinda wapinzani wake watatu kwenye uchaguzi...

Ghasia zazuka Somaliland upinzani ukisisitiza kura ifanyike

NA AFP HARGEISA, Somaliland WATU kadhaa waliuawa na wengine wengi wakajeruhiwa Alhamisi jioni polisi walipowashambulia waandamanaji...

Amerika yataka Afrika ikatae ‘kutumiwa vibaya’

NA AFP PRETORIA, AFRIKA KUSINI WAZIRI wa Mashauri ya Kigeni wa Amerika, Antony Blinken, amezitaka nchi za Afrika kukataa masharti...