• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

Majeshi ya Urusi yateka mji mwingine Ukraine

NA MASHIRIKA KYIV, UKRAINE JESHI la Ukraine limethibitisha kuwa vikosi vya Urusi vimeuteka mji muhimu wa Lysychansk, ulio katika eneo...

Urusi yalemewa kulipa madeni yake ya kigeni

NA MASHIRIKA NEW YORK, AMERIKA URUSI imeshindwa kulipa deni lake la kitaifa kwa mara ya kwanza katika karne moja iliyopita. Hali...

Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Madola waanza nchini Rwanda

NA MASHIRIKA KIGALI, RWANDA MARAIS na mawaziri wakuu kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni Ijumaa Juni 24, 2022 wameanza mkutano wa...

Tetemeko laua watu 1,000 Afghanistan

NA AFP SHARAN, AFGHANISTAN IDADI ya watu waliokufa kutokana na tetemeko la ardhi lililotokea nchini Afghanistan Jumanne imepanda hadi...

Watu 4 wafariki katika ajali ya ndege ya mizigo ya Urusi

NA AFP MOSCOW, URUSI WATU wanne wamefariki Ijumaa na wengine watano wakajeruhiwa ndege ya mizigo ya Urusi ilipoanguka katika mji wa...

13 wauawa polisi wakipambana na wahalifu Mexico

NA AFP GUADALAJARA, Mexico WATU 13 waliuawa katika makabiliano ya risasi kati ya polisi na wanachama wa genge moja la wahalifu katika...

Marais wa EAC waunda kikosi cha kulinda amani DRC

NA CHARLES WASONGA NAIROBI, KENYA MARAIS wa Afrika Mashariki wameidhinisha kuundwa kwa kikosi maalum cha kudumisha amani nchini...

DRC yajenga mnara wa kumkumbuka waziri mkuu wa kwanza wa jamhuri

NA MASHIRIKA KINSHASA, DRC JAMHURI ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inaendeleza hatua za mwisho mwisho kukamilisha ujenzi wa mnara wa...

Hofu vita vya Ukraine, Urusi kuchukua miaka

NA MASHIRIKA BERLIN, UJERUMANI HUENDA vita vinavyoendelea kati ya Ukraine na Urusi vikadumu kwa miaka kadhaa, limeonya Shirika la...

Besigye kizimbani tena kwa kuchochea maandamano ya raia

DAILY MONITOR na AFP KAMPALA, UGANDA MWANASIASA mkongwe nchini Uganda, Dkt Kizza Besigye, ameshtakiwa kwa mara ya pili kwa tuhuma za...

Watu 12,000 wakwama penye vita Ukraine – UN

NA MASHIRIKA KYIV, UKRAINE MAELFU ya raia wamekwama katika mji wa Severodonetsk nchini Ukraine, Umoja wa Mataifa (UN) ukionya kuwa...

Maafisa waonya wakimbizi kutoka TZ kuhusu silaha

NA ROBERT KIPLAGAT MAAFISA wa usalama katika Kaunti ya Narok wamewaonya wakimbizi kutoka Tanzania wanaotoroka shughuli ya kuwafurusha...