• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 10:15 PM

Monkeypox imeathiri 1,400 Afrika – WHO

NA MASHIRIKA GENEVA, Uswisi VISA 1,400 vya ndui ya nyani (monkeypox) vimeripotiwa katika nchi saba za Afrika mwaka huu, kwa mujibu wa...

UN, AU wapongeza utawala kuondoa hali ya hatari

NA XINHUA KHARTOUM, SUDAN UMOJA wa Mataifa (UN), Umoja wa Afrika (AU) na Shirika la Maendeleo la IGAD, zimepongeza hatua ya utawala wa...

Putin aombwa aketi na Zelensky wamalize vita

NA MASHIRIKA BERLIN, UJERUMANI UFARANSA na Ujerumani zimemrai Rais Vladimir Putin wa Urusi kufanya mazungumzo ya kina na ya moja kwa...

Tutanasa magari yote ya serikali, Chebukati aonya wagombea

NA LEONARD ONYANGO TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imeagiza kukamatwa kwa magari na mali ya serikali inayotumiwa na wanasiasa...

Rais Jammeh kushtakiwa kwa utawala mbovu

NA AFP BANJUL SERIKALI ya Gambia imemfungulia mashtaka ya mauaji rais wa zamani wa nchi hiyo Yahya Jammeh kulingana na mapendekezo ya...

Waziri atimuliwa baada ya watoto 11 kuteketea

NA AFP DAKAR, SENEGAL RAIS wa Senegal Macky Sall amemfuta kazi waziri wake wa afya, Abdoulaye Diouf Zarr baada ya watoto wachanga 11...

Moto waangamiza watoto 10 wachanga hospitalini Senegal

NA MASHIRIKA DAKAR, SENEGAL WATOTO kumi wachanga Alhamisi walifariki kwenye moto mkubwa uliotokea katika hospitali moja, mjini...

Majonzi mshambuliaji akiwaua wanafunzi 19

NA AFP TEXAS, AMERIKA WATU 21, wakiwemo wanafunzi 19, waliuawa Jumanne, baada ya mshambuliaji kufyatua risasi kiholela kwenye shule...

Tedros kuongoza WHO kwa miaka mingine mitano

NA MASHIRIKA GENEVA, USWISI KATIBU Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus (pichani) , amechaguliwa tena...

Urusi yalipiza kwa vikwazo vya Biden

NA MASHIRIKA KYIV, UKRAINE URUSI Jumamosi ilichapisha majina ya watu 963 maarufu kutoka Amerika, ambao imewapiga marufuku kusafiri...

Uchafuzi wa mazingira huua watu 9m – Ripoti

NA MASHIRIKA WATU 9 milioni hufa kila mwaka kote duniani kutokana na uchafuzi wa mazingira, utafiti mpya unaonyesha. Utafiti...

Amerika kupeleka tena wanajeshi wake Somalia

NA AFP WASHINGTON, Amerika RAIS wa Amerika Joe Biden ameamuru kupelekwa kwa wanajeshi wa nchi hiyo nchini Somalia kusaidia katika...