• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Iran yaishambulia Israeli kwa msururu wa droni

REUTERS Na WANDERI KAMAU Jerusalem, Israeli IRAN mnamo Jumamosi, Aprili 13, 2024 usiku ilizindua msururu wa mashambulizi ya droni na...

Koome kwa polisi: Wakabili madaktari wanaogoma

NA WANDERI KAMAU INSPEKTA Jenerali wa Polisi, IG Japhet Koome, Jumapili, Aprili 14, 2024, aliwaagiza makamanda wa polisi nchini...

Baada ya mbolea feki, wakulima sasa wanalia mbegu faafu za mahindi hazipatikani madukani

NA OSCAR KAIKAI MAELFU ya wakulima katika kaunti za Bonde la Ufa wamelalamikia ukosefu wa mbegu za mahindi hasa katika msimu huu wa mvua...

Iran yarusha makombora kuelekea Israel katika hatua inayozua wasiwasi wa vita

FATUMA BARIKI NA MASHIRIKA SERIKALI ya Iran imeanzisha mashambulizi dhidi ya Israel, vyombo vya habari nchini Iran vimesema. Ripoti...

Mshukiwa mkuu wa ulanguzi wa mihadarati anaswa

Na WINNIE ATIENO MAAFISA wa upelelezi (DCIO) wamemkamata mwanamume anayeshukiwa kuwa mhusika mkuu wa ulanguzi wa dawa za kulevya. Maafisa...

Jinsi video ya ubakaji ya genge la wanaume saba ilifichuka

Na VITALIS KIMUTAI VIDEO inayosawiri kitendo cha ubakaji inayosambaa katika mitandao ya kijamii ilinaswa miezi minne iliyopita na kutolewa...

Mgomo sasa waanza kuathiri kesi zinazohitaji ushahidi wa matabibu kortini

ELIZABETH OJINA na TITUS OMINDE MGOMO wa madaktari unaoendelea umeathiri, sio tu wagonjwa kote nchini bali, kesi ambazo madaktari...

Utafiti wafichua nusu ya Wakenya waamini nchi inaelekea pabaya

Na NDUBI MOTURI ZAIDI ya nusu ya Wakenya wanaamini kuwa nchi inaelekea vibaya, utafiti wa kampuni ya Infotrak umeonyesha. Ni asilimia...

Kampuni zaacha mashine za kuchuma majanichai na kurejea kwa vibarua wa mikono

Na BARNABAS BII BAADHI ya kampuni za kuendesha kilimo cha majani-chai katika eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa zimerejelea uchumaji kwa...

Shule sasa zalazimika kutumia ada za chakula kulipa walimu mishahara

NA MAUREEN ONGALA WAKUU wa shule za Kilifi wamefichua kuwa uhaba wa walimu na kucheleweshwa kwa pesa zinazotolewa na serikali ya kitaifa...

Tafuteni barakoa mvalie sababu kuna wimbi la mafua, Wakenya waambiwa

ELIZABETH OJINA NA LABAAN SHABAAN WATAALAMU wa afya eneo la ziwa - Lake Basin - wameonya kuna uwezekano wa kuongezeka kwa homa ya...

Serikali yapiga marufuku dawa ya kikohozi Benylin kufuatia madai ya maafa Afrika Magharibi

NA MWANDISHI WETU BODI ya Dawa na Sumu nchini imesimamisha mara moja uuzaji na utumiaji wa dawa ya kikohozi ya watoto, kwa jina Benyline...