• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 11:33 PM

Raila akatiza kampeni za kiti cha AUC ili kutetea madaktari walipwe

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE kiongozi wa upinzani Raila Odinga amevunja kimya chake kuhusu mgomo wa madaktari kwa kuitaka serikali...

Mama afa akijaribu kuokoa mwanawe kwenye nyumba iliyoshika moto

NA JURGEN NAMBEKA MWANAMKE katika eneo la Madzindani, Kaunti ya Kilifi na mwanawe mwenye umri wa miaka miwili walifariki katika mkasa wa...

Mwigizaji wa Nollywood afariki kwenye ajali ya boti akienda kuunda filamu

NA FRIDAH OKACHI MWIGIZAJI wa filamu za Nollywood Junior Pope Odonwodo, almaarufu Jnr Pope ameaga dunia baada ya boti alilokuwa akitumia...

Israel yaua wana 3 wa kiongozi wa Hamas Ismail Haniyeh

UKANDA WA GAZA NA MASHIRIKA WANA watatu wa kiongozi Mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh waliuawa katika shambulizi la anga lililotekelezwa na...

EACC yaondolea Chiloba kesi ya ufisadi iliyopelekea kutimuliwa Tume ya Mawasiliano

EDNA MWENDA NA FATUMA BARIKI TUME ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) imetamatisha upelelezi dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa...

Bintiye Rais Moi, June Chebet aaga dunia

NA FRANCIS MUREITHI BINTIYE rais mstaafu hayati Daniel Moi, Bi June Chebet aliaga dunia Alhamisi akiwa na umri wa miaka 60. Bi Chebet...

Uvamizi mpya wa Al-Shabaab Milihoi wafufua kumbukumbu ya Katibu wa Wizara aliyetekwa

NA KALUME KAZUNGU MILIHOI ni miongoni mwa maeneo ambayo yalikuwa yameanza kujenga sifa nzuri siku za hivi karibuni baada ya miaka mingi ya...

Je, unajua kwa nini bei ya kitunguu haikamatiki saa hii?

SOPHIA WANJIRU NA WANDERI KAMAU BEI ya vitunguu imepanda mjini Nyeri kutokana na kupungua kwa mavuno ya zao hilo. Hali hiyo imetajwa...

Viongozi wa Kiislamu wahimiza serikali kutendea haki madaktari

NA TITUS OMINDE VIONGOZI wa Kiislamu kutoka eneo la North Rift wameihimiza serikali ya kitaifa kuangazia matakwa ya madaktari ili...

Ukatili: Mwanaharakati wa LGBTQ alinyongwa hadi kufa  

NA TITUS OMINDE MWANAPATHOLOJIA Mkuu wa Serikali, Dkt Johansen Oduor mnamo Jumanne, Aprili 9, 2024 aliambia Mahakama Muu mjini Eldoret...

Mwindaji ageuka mwindwa: Afisa wa DCI akamatwa akiitisha hongo

NA CHARLES WASONGA AFISA wa Upelelezi wa Jinai na Uhalifu (DCI) Jumatano, Aprili 10, 2024, alikamatwa na maafisa wa Tume ya Maadili na...

Aliyekuwa Naibu Kamishna ashangaa kugeuzwa ‘mahabusu’ kwa ulaghai wa shamba la mabilioni  

NA RICHARD MUNGUTI KUSIKIZWA kwa kesi ya ulaghai wa shamba la Sh1.35 bilioni dhidi ya aliyekuwa Naibu Kamishna wa Nairobi, Davis Nathan...