• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 2:19 PM

NHIF: Hitilafu yachelewesha, kukosesha wagonjwa huduma

CHARLES WASONGA Na LINET OWOKO WAGONJWA wanaotumia kadi za Bima ya Kitaifa ya Matibabu (NHIF) kupata huduma za matibabu au kuzilipia...

Urais Senegal: Faye amlemea mgombea wa ‘deep state’

NA MASHIRIKA DAKAR, SENEGAL MGOMBEA urais wa upinzani nchini Senegal Bassirou Diomaye Faye, anatarajiwa kutawazwa rais mpya wa taifa hilo...

Mradi wa Dongo Kundu kuendelea baada ya muafaka

NA ANTHONY KITIMO MIEZI mitano baada ya Rais William Ruto kusimamisha ulipaji wa fidia ya Sh1.4 bilioni kwa walioathiriwa na mradi wa...

Chuo Kikuu cha Rongo chafungwa kufuatia vurugu za uchaguzi

NA WYCLIFFE NYABERI CHUO Kikuu cha Rongo kimefungwa kwa muda usiojulikana na wanafunzi wote kuamuriwa kuondoka mara moja. Seneti ya chuo...

Mwanafunzi ajitia kitanzi kwa kuachwa na mpenziwe

NA WYCLIFFE NYABERI MWANAFUNZI wa kiume wa Chuo Kikuu cha Kisii amepatikana akiwa amefariki dunia katika nyumba ya kupanga mtaani Gekomu...

Mwongozo wa wakazi kuchimba madini mbugani Tsavo waandaliwa

NA LUCY MKANYIKA WIZARA ya Madini na Uchumi wa Baharini imeanzisha mchakato wa kuwakubalia wakazi wa Taita Taveta kuchimba madini ndani...

Waislamu wahimizwa kuhifadhi Qur’an kupalilia tabia njema

ABDULRAHMAN SHERIFF Na KARIM RAJAN WAUMINI wa Kiislamu nchini wametakiwa kuzingatia mafundisho ya dini kwani yanachangia pakubwa katika...

Familia yaomba msaada kuzika jamaa walioangamia Shakahola  

NA WACHIRA MWANGI MWANAMUME aliyepoteza jamaa zake wanne katika mauaji yaliyotokana na itikadi kali yaliyohusishwa na mhubiri Paul...

Wakana ulaghai wa zaidi ya Sh1 milioni

NA RICHARD MUNGUTI WASHUKIWA watatu wamefikishwa kortini kwa ulaghai wa Sh1.1 milioni. Farrah Osman Issak, Abdiakin Ismail Abdullahi na...

DJ Joe Mfalme kuzuiliwa siku 14 katika kesi ya mauaji ya polisi

NA RICHARD MUNGUTI MCHEZA santuri Joseph Mwenda Munoru almaarufu DJ Joe Mfalme aliyekamatwa pamoja na watu wengine sita kwa kwa mauaji...

Gachagua amwomba msamaha Mama Ngina Kenyatta

NA WANDERI KAMAU NAIBU Rais Rigathi Gachagua mnamo Jumatatu Machi 25, 2024 alimwomba msamaha mamake Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta, Mama...

Waislamu washauriwa kudumisha maadili

ABDULRAHMAN SHERIFF Na KARIM RAJAN WAUMINI wa Kiislamu nchini Kenya wametakiwa kuzingatia mafundisho ya dini, wakihimizwa kwamba...