• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

Serikali yasutwa kwa kunyima vyombo vya habari matangazo ya kibiashara

HASSAN WANZALA Na RICHARD MUNGUTI MUUNGANO wa wadau sekta ya habari umelalamika ukidai hatua ya Katibu wa Teknolojia ya Habari na...

Jowie ahukumiwa kifo kwa kumuua Monicah Kimani

NA RICHARD MUNGUTI MSHTAKIWA Joseph 'Jowie' Irungu amehukumiwa kifo kwa kumuua mfanyabiashara Monicah Kimani. Jaji Grace Nzioka mnamo...

Polisi waamriwa kuvunja Mungiki katika steji ya Sagana

NA MWANGI MUIRURI KAMANDA wa polisi eneo la Kati, Lydia Ligami, ametoa amri kwa wadogo wake wanahudumu katika maeneo ya Kaunti ya...

Kampuni 19 zapata ruhusa ya CBK kutuma maelezo ya wakopaji CRB

NA WANDERI KAMAU BENKI Kuu ya Kenya (CBK) Jumatatu ilitoa leseni kwa kampuni 19 zaidi za kutoa mikopo kidijitali kupitia simu, hilo...

Korti yatupa ombi la wakazi wa Kilifi waliotaka serikali isipewe chuo cha utalii cha Ronald Ngala

NA PHILIP MUYANGA MAHAKAMA Kuu imetupilia mbali ombi la baadhi ya wakazi wa Kilifi ambao walitaka kusimamisha kwa muda kupeanwa kwa chuo...

Putin kifua mbele uchaguzi ukinukia

NA MASHIRIKA MOSCOW, URUSI KURA ya maoni inaonyesha Rais wa Urusi Vladimir Putin anaweza kushinda uchaguzi wa Machi kwa asilimia...

Getumbe kufikishwa kortini kwa kudaiwa ‘kuchafua hewa’

NA FRIDAH OKACHI MWANAMUZIKI wa Injili William Getumbe anatarajiwa kufikishwa mahakamani Ijumaa baada ya kujipata matatani kwa kuimba...

Mahakama yaagiza Arati na Nyaribo kushauriana kumaliza mzozo wa Keroka

NA WYCLIFFE NYABERI MAHAKAMA imewaagiza magavana Simba Arati (Kisii) na Amos Nyaribo (Nyamira) kufanya mazungumzo ndani ya siku 21...

Amerika yawawekea vikwazo wafadhili wa Al-Shabaab

NA REUTERS WASHINGTON D.C., AMERIKA WIZARA ya Fedha nchini Amerika, Jumatatu ilitangaza kuwawekea vikwazo watu na taasisi ilizozitaja...

Hatua za Ariel Henry kutaka kuyaponda magenge Haiti zamsukuma kona mbaya

WANDERI KAMAU Na MASHIRIKA HATUA ya Waziri Mkuu wa Haiti Ariel Henry kutangaza kujiuzulu mnamo Jumatatu, imezua maswali kuhusu ikiwa...

Kikosi cha kufukua mizimu ya 2022

NA BENSON MATHEKA MUUNGANO wa Azimio La Umoja One Kenya umemteua aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Amos Wako kuongoza timu ya watu watatu...

Kaunti zinavyoporwa kwa kukosa sajili za mali

NA ERIC MATARA. SERIKALI nyingi za kaunti zimepoteza mali ya thamani ya mabilioni ya pesa ndani ya miaka 12 iliyopita kutokana na ukosefu...