• Nairobi
  • Last Updated April 27th, 2024 9:35 PM

Migodi ya dhahabu ilivyogeuka kuwa ngome ya mauti 

NA OSCAR KAKAI ENEO la Romus katika Lokesheni ya Lopet, wadi ya Kiwawa mpakani mwa Kaunti ya Pokot Magharibi na Turkana ni limesheheni...

Askofu Gakuyo kusalia rumande  

NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA imempa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) muda wa mwezi mmoja aandae ushahidi katika kesi inayomkabili...

Kalonzo: Nilishinikiza Kibaki kumteua Kenyatta kama Naibu Waziri Mkuu

NA WANDERI KAMAU KIONGOZI wa Wiper, Bw Kalonzo Musyoka, amesema kuwa ndiye alimshinikiza Rais Mstafu Mwai Kibaki kuteua Rais Mstaafu...

Utata wa soko la Kombani wachacha

NA BRIAN OCHARO WAKAZI wa kaunti ya Kwale watasubiri kwa wiki mbili zaidi kufahamu iwapo soko la Kombani lililogarimu Sh120 milioni...

Seneta alalamikia unyakuzi wa ardhi Mombasa

NA WINNIE ATIENO SENETA wa Mombasa Bw Mohammed Faki amesihi viongozi wa kaunti hiyo kushirikiana ili kurejesha vipande vya ardhi...

Wakulima wa ndizi wanavyohangaika kupata soko mazao yakiozea shambani

NA KALUME KAZUNGU WAKULIMA wa ndizi katika kisiwa cha Pate, Lamu Mashariki wanaililia serikali ya Kaunti, ile ya kitaifa na wadau...

Mbinu za kina mama kukabiliana na wizi wa mifugo

NA OSCAR KAKAI HUKU serikali ikijikakamua kupambana na visa vya wizi wa mifugo na mashambulizi ya mara kwa mara Pokot Magharibi, baadhi ya...

Uzinduzi wa vitabu vya Kibajuni kudumisha tamaduni  

NA KALUME KAZUNGU HISTORIA imeandikishwa baada ya vitabu vilivyoandikwa na kuchapishwa kwa mara ya kwanza kwa lahaja au lugha ya Kibajuni...

Afueni kwa wakulima mbolea nafuu ikitua nchini

NA BARNABAS BII AND STANLEY KIMUGE WAKULIMA katika maeneo yanayokuza mahindi wamepata afueni baada ya serikali kuagizia kutoka nje...

Vyama 48 vya kisiasa kugawana Sh2 bilioni

NA DAVID MWERE JUMLA ya vyama 48 vya kisiasa vimetengewa kitita cha Sh2 bilioni katika mwaka ujao wa kifedha kulingana na ripoti ya...

Waislamu watakiwa kusubiri tangazo la Kadhi Mkuu kuhusu Ramadhan

NA CECIL ODONGO KADHI Mkuu Abdulhalim Hussein Jumapili, Machi 10, 2024 alitoa wito kwa Waislamu kusubiri tangazo lake pekee kabla ya...

Wamalwa akataaa marupurupu ya Nadco

NA MOES NYAMORI KIONGOZI wa DAP Kenya, Eugene Wamalwa amekataa kupokea marupurupu ya kushiriki vikao vya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano...