• Nairobi
  • Last Updated May 5th, 2024 6:50 AM

Mradi wa choo na Wi-Fi wapingwa Mukuru-Fuata Nyayo

NA SAMMY KIMATU MRADI wa serikali unaonuiwa kupiga jeki vijana kimapato na kufaidi zaidi ya watu 20,000 katika mtaa wa mabanda wa...

Mvulana auawa kwa kupigwa risasi na majangili Pokot Magharibi

NA OSCAR KAKAI TAHARUKI inaendelea kutanda kwenye mpaka wa kaunti za Pokot Magharibi na Turkana baada ya mvulana wa umri wa miaka 12...

Wito Wakenya wakumbatie teknolojia ya AI kukabiliana na changamoto za kimaisha

JOSEPH OPENDA Na KENNEDY KIMANTHI KONGAMANO Kuu la nne la Nation kuhusu masuala ya kidijitali limekamilika kwa wito kwa Wakenya kujiandaa...

Mtunzaji wa bwawa azuiliwa kufuatia kifo cha mwanafunzi shuleni

NA RICHARD MUNGUTI MAHAKAMA imeamuru mtunzaji wa bwawa la kuogelea katika Shule ya Msingi ya Visa Oshwal azuiliwe ili kuhojiwa na polisi...

Wakulima Taita Taveta kujinyanyua na mbolea nafuu, upimaji udongo

NA LUCY MKANYIKA KATIKA miaka ya awali, Kaunti ya Taita Taveta ilikuwa ikilisha eneo la Pwani na maeneo mengine, kwa kutoa mazao safi kwa...

Asenath Cheruto: Tulikuwa tufunge harusi kubwa na Kiptum Aprili

CAROLINE WAFULA NA FRIDAH OKACHI MWANARIADHA Kelvin Kiptum alikuwa akipanga harusi ya kupendeza ili kurasimisha ndoa yake na mkewe...

Askofu David ‘Gakuyo’ Ngari kuzuiliwa hadi Jumatatu kesi ya kupora Sh1bn

NA RICHARD MUNGUTI ASKOFU anayedaiwa kuwapora Wakenya 50,000 zaidi ya Sh1 bilioni akidai ni kuwekeza katika biashara ya ujenzi wa nyumba,...

Serikali yasema itaanza kushughulikia vitambulisho 600,000 vilivyokwama baada ya kesi kutupwa

NA SAM KIPLAGAT SERIKALI sasa iko huru kuzindua vitambulisho vya kitaifa vya kidijitali, baada ya mahakama kuondoa agizo lililositisha...

Afisi ya Gachagua yamulikwa kwa mapazia ya Sh10m

PETER MBURU Na CHARLES WASONGA KWA upande mmoja serikali ikiendelea kulaumiwa kwa kuwabebesha Wakenya mzigo mzito wa ushuru, upande huo...

KWAHERI STAA: Kelvin Kiptum akimbia mbio zake za mwisho duniani

NA TITUS OMINDE WINGU la simanzi limetanda katika boma la marehemu mwanariadha Kelvin Kiptum eneo la Chepsamo safari yake ya mwisho...

Wakulima wa viazi wakadiria hasara baada ya bakteria kuharibu mimea

NA PETER CHANGTOEK BAADHI ya wakulima wanaokuza viazi katika eneo la Turbo, Kaunti ya Uasin Gishu, wanalia kwa kupata hasara kubwa baada...

Uchumi wa Tanzania kukua kuliko wa Kenya, Uganda

NA WANDERI KAMAU UCHUMI wa Tanzania umetabiriwa kukua kuliko chumi za Kenya na Uganda mwaka huu 2024. Kulingana na ripoti iliyotolewa...