• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 7:02 PM

E-Citizen pigo kwa wazazi wanaolipa karo kupitia kwa bidhaa za shambani

NA GEORGE ODIWUOR MFUMO mpya wa kulipa karo kidijitali kupitia tovuti ya e-Citizen umezua kizungumkuti kwa wazazi wanaotegemea mbinu...

Polisi 4 wanaodaiwa kuiba pombe yenye sumu na kuuzia mfanyabiashara wazuiliwa

NA GEORGE MUNENE MAHAKAMA ya Baricho mnamo Jumanne iliwaruhusu polisi kuwazuilia wenzao wanne wanaodaiwa kuiba pombe vyenye sumu...

Mwadime awatetea mawaziri wanaoshinikizwa kujiuzulu kwa kuzembea

NA LUCY MKANYIKA GAVANA wa Kaunti ya Taita Taveta Andrew Mwadime amewapuuza wakosoaji wake wanaomlaumu kwa kushindwa kuboresha sekta ya...

DPP awasilisha notisi ya rufaa kupinga Jacque Maribe kuondolewa kosa la mauaji

NA RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson Ingonga amewasilisha notisi ya kukata rufaa kupinga uamuzi wa mahakama...

Mchezo wa kisiasa aliocheza Riggy G uliomfanya Ndindi Nyoro kukunja mkia Mlimani

NA LUCAS BARAZA NAIBU Rais, Rigathi Gachagua, alidhihirisha ubabe wake wa kisiasa eneo la Mlima Kenya alipovamia ngome ya mpinzani wake...

Waziri wa Ulinzi wa Amerika alazwa tena hospitalini kwa tatizo la kibofu

NA MASHIRIKA WAZIRI wa Ulinzi wa Amerika, Lloyd Austin, alilazwa hospitalini mjini Washington Jumapili kwa matibabu ya “dalili...

Majonzi nyota wa rekodi ya dunia ya marathon, Kiptum akiaga dunia

CAROLINE WAFULA NA BERNARD ROTICH MSHIKILIZI wa rekodi ya dunia ya mbio za marathon Kelvin Kiptum na kocha wake raia wa Rwanda Garvais...

Polisi wa ngazi za juu wa zamani King’ori Mwangi afariki akipokea matibabu

NA WANDERI KAMAU NAIBU Inspekta Jenerali wa Polisi wa zamani, Bw King’ori Mwangi, ameaga dunia. Kwenye taarifa, familia yake ilisema...

Hafla za mazishi Kisii zageuzwa jukwaa la viongozi kurushiana matusi

NA WYCLIFFE NYABERI WANASIASA na viongozi wa mirengo kinzani kutoka Kaunti ya Kisii sasa wameanza kugeuza hafla za mazishi majukwaa ya...

Matrekta yageuzwa mabasi ya shule Lamu

NA KALUME KAZUNGU UBUNIFU wa Shule ya Msingi ya Mwendo Bora iliyoko katika kisiwa cha Lamu wa kugeuza trekta kuwa basi la kuwabeba...

Sakaja motoni kwa ‘kusahau’ wakazi jijini

NA VINCENT ODUOR GAVANA wa Nairobi Johnson Sakaja amejipata matatani huku baadhi ya viongozi wakidai ametoroka kuwajibikia wakazi jijini...

Malandilodi Lamu warembesha nyumba bila kuvuruga upekee wa mji

NA KALUME KAZUNGU WAMILIKI wa nyumba za kupangisha, almaarufu ‘malandilodi’ katika mji wa kale wa Lamu, wana kibarua kigumu cha...