• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Kilio meli za watalii zikikosa kuvumisha uchumi Pwani

NA WINNIE ATIENO WAKAZI na wafanyabiashara katika Kaunti ya Mombasa na Pwani kwa jumla, wangali hawajaona manufaa makubwa kutoka kwa...

Hofu Kwale watoto wengi wakipata maambukizi ya macho mekundu

NA SIAGO CECE ZAIDI ya watu 300 wamepata maambukizi ya ugonjwa wa macho mekundu huku visa vya maambukizi hayo vikiongezeka katika Kaunti...

Mackenzie, wenzake 29 wakana kuhusika na vifo vya watoto 191

NA ALEX KALAMA MHUBIRI tata Paul Mackenzie na wenzake 29 wakiwa mbele ya Mahakama Kuu ya Malindi wamekanusha mashtaka ya mauaji ya...

Mazingira: Verra yaondoa marufuku kwa mradi wa Wildlife Works

NA LUCY MKANYIKA SHIRIKA la kimataifa la kuweka viwango vya kaboni, Verra, limeondoa marufuku ya mradi wa ukanda wa Kasigau ulioko...

Jasho kupata kitambulisho, umepitia yapi kusaka stakabadhi hii?

Na WAANDISHI WETU WAKENYA wanapitia mateso na kukaa kwa muda mrefu kabla ya kupata kitambulisho cha kitaifa ambacho ni haki yao ya...

Mackenzie arudishwa kortini kukabiliwa na mashtaka ya vifo vya watoto 191

NA ALEX KALAMA MHUBIRI tata Paul Mackenzie anayekabiliwa na mashtaka ya mauaji yaliyotokea msituni Shakahola amewasili katika Mahakama...

Mshukiwa mkuu wa mlipuko wa gesi Embakasi akamatwa

NA WANDERI KAMAU MSHUKIWA mkuu wa kituo cha kujaza gesi katika mitungi katika eneo la Mradi, Embakasi kulikotokea mlipuko mkubwa mnamo...

Mudavadi asisitiza Chebukati anatosha kuwa Jaji Mkuu

NA CHARLES WASONGA MKUU wa Mawaziri Musalia Mudavadi sasa anamtetea mwenyekiti wa zamani wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC)...

Mfalme Charles aahirisha shughuli rasmi baada ya kugunduliwa anaugua saratani

NA WANDERI KAMAU MFALME Charles III wa Uingereza amethibitishwa kuugua saratani,  yalisema makao ya kifalme ya Buckingham, kwenye taarifa...

Savula na wake zake wawili kuongezewa mashtaka mengine ya ufisadi

Na RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson Igonga atamwongezea Naibu Gavana wa Kaunti ya Kakamega Ayub Savula, wake...

Wakazi wa Mradi, Embakasi walivyokurupuka tena Jumatatu kwa hofu ya mlipuko mwingine

NA WAANDISHI WETU KIZAAZAA kilizuka asubuhi ya Jumatatu, Februari 5, 2024 katika kijiji cha Mradi, Embakasi ambacho kilikumbwa na mkasa...

Ruto kupaa tena nje ya nchi akiahidi kurejea na Sh160 bilioni

BENSON MATHEKA NA SHABAN MAKOKHA RAIS William Ruto atafanya ziara yake ya 50 nje ya nchi kwa kuzuru Japan ambako anatarajia kupata Sh160...