• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 10:08 PM

Mashahidi watundu wanavyochangia kesi zaidi ya 90 za mauaji kukwama kortini

NA TITUS OMINDE UKOSEFU wa ushirikiano kutoka kwa mashahidi katika kesi za mauaji umechangia mirundiko ya kesi zaidi ya 90 za mauaji...

Mzozo wa urithi wa maduka ya Naivas wachacha

Na JOSEPH OPENDA MZOZO kuhusu usimamizi wa mali ya mwanzilishi wa maduka ya Naivas Peter Mukuha unaendelea baada ya watoto wake watatu...

Rais wa moja ya taifa thabiti zaidi kidemokrasia Afrika, Namibia, afa kwa saratani

NA WANDERI KAMAU RAIS William Ruto, Jumapili aliwaongoza Wakenya kutuma rambirambi kwa watu wa Namibia, kufuatia kifo cha Rais Hage...

Serikali yazinduka baada ya mkasa jijini

NA CHARLES WASONGA SERIKALI ilionekana kuanza kugutuka Jumamosi ilipowasimamisha kazi maafisa wanne wa Mamlaka ya Kitaifa ya Kusimamia...

Epra yajitenga na mlipuko wa Embakasi

NA BARNABAS BII MAMLAKA ya Kudhibiti Kawi na Petroli (Epra) imejitenga na lawama kuhusu mlipuko wa gesi eneo la Embakasi ulioua watu...

Biashara ya kumbi za kijamii yanoga mji wa Mokowe ukipanuka

NA KALUME KAZUNGU WAWEKEZAJI mjini Mokowe wameibukia biashara ya kujenga na kukodisha kumbi za kijamii ambayo inaonekana kufanya vyema...

Mama kanisa watano wafariki ajalini wakitoka eneo spesheli la Marian

NA MWANGI MUIRURI WINGU la simanzi limetanda katika Kanisa Katoliki tawi la Kaunti ya Murang'a baada ya mama kanisa watano kuaga dunia...

Mwekezaji katika eneo la mlipuko wa gesi azungumza kupitia mawakili wake

NA MWANGI MUIRURI MWEKEZAJI Derrick Kimathi anayehusishwa na mlipuko wa gesi uliotokea Mradi, Embakasi, Kaunti ya Nairobi mnamo Alhamisi...

Moto shuleni Kirogo waacha wanafunzi 200 bila mabweni

NA MWANGI MUIRURI ZAIDI ya wanafunzi 200 wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Kirogo katika Kaunti ya Murang'a wameachwa bila malazi baada...

Rais aagiza waliotoa leseni tata kituo cha gesi wafutwe kazi

NA WANDERI KAMAU RAIS William Ruto ameagiza kufutwa kazi kwa maafisa wa serikali wanaolaumiwa kutoa leseni kwa kituo cha kuuzia gesi...

Embakasi: Nema yatimua maafisa wanne kwa kutoa leseni tata

NA WANDERI KAMAU BODI ya Mamlaka ya Uhifadhi wa Mazingira Nchini (Nema) imewatimua maafisa wanne kwa kutoa leseni kwa Maxxis Nairobi...

Wazazi sasa kulipa karo kupitia e-Citizen kuzima ukora

NA WANDERI KAMAU ITAKUWA lazima kwa wazazi na walezi kuwalipia watoto karo kupitia mtandao wa e-Citizen. Hili ni baada ya Wizara ya Elimu...