• Nairobi
  • Last Updated May 5th, 2024 6:07 PM

Christine Kilalo alaani visa vya mauaji ya wanawake

NA LUCY MKANYIKA NAIBU Gavana wa Kaunti ya Taita Taveta, Bi Christine Kilalo, ameungana na viongozi wengine kulaani vikali visa vya...

Mzee adai alisukumiwa kosa la unajisi kwa kudai deni

NA TITUS OMINDEĀ  MZEE mwenye umri wa miaka 78 anayetumikia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumnajisi msichana...

Ufisadi: Kenya yalala darasani

NA WANDERI KAMAU HALI ya ufisadi iliongezeka nchini mwaka 2023, imeonyesha ripoti mpya iliyotolewa Jumanne na shirika la Transparency...

Familia ya marehemu Mark Too yapinga jaribio la maskwota

NA RICHARD MUNGUTI FAMILIA ya aliyekuwa mwanasiasa mwenye ushawishi mwingi marehemu Mark Too pamoja na Mwanasheria Mkuu Justin Muturi...

Wavunaji mchanga wachapa kazi licha ya kufukua mafuvu

NA KASSIM ADINASI UVUNAJI wa mchanga kwenye maeneo mengi ya Usonga katika Kaunti ya Siaya unakuja na makubwa yake, la hivi punde likiwa...

Mtakuja kuelewa umuhimu wa kubariki mashoga – Papa

NA MASHIRIKA VATICAN CITY, VATICAN KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amesema katika mahojiano yaliyochapishwa Jumatatu...

Supkem: Waislamu eneo la Pwani wamuunga Ole Naado

NA KNA VIONGOZI wa baraza Kuu la Waislamu nchini (Supkem) eneo la Pwani wameapa kusimama na mwenyekiti wa baraza hilo Hassan ole...

Savula abaki motoni washtakiwa 13 wakiachiliwa

NA RICHARD MUNGUTI MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson Ingonga amewaondolea kesi washukiwa 13 walioshtakiwa pamoja na Naibu...

Tanzia: Kimunya aomboleza kifo cha mkewe

NA WANDERI KAMAU MKEWE aliyekuwa mbunge wa Kipipiri Amos Kimunya, Bi Lucy Kimunya ameaga dunia Jumanne, alipokuwa akipokea matibabu...

Magaidi watumia ajira kuwavutia vijana

NA MANASE OTSIALO MBINU za kusajili vijana kujiunga na vikundi vya magaidi Kaskazini mwa Kenya sasa zimebadilika kwa kasi huku...

NHIF imeoza kwa ufisadi – Nakhumicha

NA LUCY MKANYIKA WAZIRI wa Afya Susan Nakhumicha amesema kuwa ufisadi katika bima ya afya (NHIF), ambayo itabadilishwa na Bima ya...

Ustadh aomba dua kwa Mungu mswada wa nyumba uanguke

NA KALUME KAZUNGU KIOJA kilizuka mjini Mokowe, Lamu, wakati ustadh mmoja wa dini ya Kiislamu aliomba dua kwa Mwenyezi Mungu akitaka...