• Nairobi
  • Last Updated May 5th, 2024 6:07 PM

Kutoboa masikio kulikuwa chanzo cha ndoa kusambaratika, mwanamke alia

NA FRIDAH OKACHI MHANDISI Susan Okeyo, alitengana na mumewe mwaka 2023, baada ya miaka 20, akisema penzi liliingia mdudu alipotoboa...

Mbunge wa Maragua kuendea maji ya wakazi Ikulu

NA MWANGI MUIRURI MBUNGE wa Maragua Mary Wamaua ametisha kwamba atalazimika kuongoza maandamano ya wapigakura wake hadi Ikulu ya Nairobi...

Miradi mikuu kuua ladha ya feri Likoni

NA WINNIE ATIENO FERI tano kwenye kivuko cha Likoni kinachounganisha Kisiwa cha Mombasa na Mombasa Kusini huenda zitaacha kutumiwa hivi...

Italia yaahidi ushirikiano mzuri, yakataza Afrika tabia ya ukupe

NA HASSAN WANZALA BARA la Afrika litatengewa nafasi na kupewa zingatio maalum katika ajenda ya Italia kwenye kipindi chake cha urais wa...

Kampuni za kibinafsi zapewa wiki moja kuongeza walinzi mishahara

NA MARY WAMBUI KAMPUNI za kibinafsi zinazotoa huduma za ulinzi zimepewa siku saba kutii sheria ambayo imetoa mwongozo mpya wa mshahara...

Daraja la kisasa lajengwa Mutituni kuepushia wakazi balaa ya mafuriko

NA SAMMY KIMATU WAKAZI wa lokesheni ya Mutituni katika Kaunti ya Machakos wamepata afueni baada ya Gavana Wavinya Ndeti kushirikiana na...

Achezea majirani rafu?

NA WANDERI KAMAU MBINU za kijanja za kutekeleza sera za kigeni na kiuchumi za serikali yake zimemfanya Rais William Ruto kutengwa na...

Timamy mbioni kuinua uvuvi Lamu, Sh66m zikitolewa kufadhili miradi

NA KALUME KAZUNGU SERIKALI ya Kaunti ya Lamu imeanzisha harakati za kuinua sekta ya uvuvi na uhifadhi wa mazingira na jamii, ikiwemo...

Pasta mashakani kwa kuhangaisha wafuasi wake kingono

NA WYCLIFFE NYABERI POLISI mjini Kisii wanamsaka mchungaji wa kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG), anayedaiwa kunajisi...

Khalwale afanya tambiko kwa fahali kumuua mfanyakazi

NA FRIDAH OKACHI SENETA wa Kakamega Boni Khalwale, amefanya tambiko la kumchinja ng’ombe aliyesababisha kifo cha mchungaji wa mifugo...

Nakhumicha ateua kamati ya mpito kutoka NHIF hadi SHIF

NA CHARLES WASONGA SERIKALI imebuni kamati maalum ya kukagua mali ya Hazina ya Bima ya Kitaifa ya Afya (NHIF), madeni yake, pensheni na...

Passaris awapuuza waliomzomea wakati wa maandamano kukemea mauaji ya wanawake

NA WANDERI KAMAU MWAKILISHI wa Kike katika Kaunti ya Nairobi, Esther Passaris, Jumapili, Januari 28, 2024 alipuuza kundi la watu ambao...