• Nairobi
  • Last Updated April 30th, 2024 8:55 PM

Safaricom yaomba radhi huduma ya PayBill ikikumbwa na hitilafu

WANDERI KAMAU Na MARY WANGARI KAMPUNI ya Safaricom mnamo Jumatatu ilisema kuwa huduma yake ya nambari za malipo, PayBill, ilikumbwa na...

Wito basi la bima ya lori liendelee kushikiliwa na polisi

NA SAMMY KIMATU CHAMA cha madereva wa malori ya masafa marefu (LoDDCA) kimeiomba serikali kutoruhusu basi lililohusika katika ajali ya...

Tutatuma vijana milioni moja ng’ambo mwaka huu – Moses Kuria

NA WANDERI KAMAU KENYA itawapeleka jumla ya vijana milioni moja kupata ajira katika mataifa ya nje mwaka huu, baada ya kubuni mwafaka na...

Waliopata kazi za mjengo watetea mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu

NA TITUS OMINDE VIBARUA, wajenzi, wanakandarasi miongoni mwa watu wengine ambao wamenufaika na mradi wa nyumba za bei nafuu unaoendelea...

Wanawake wanaongoza kukopa pesa jamaa na marafiki maisha yakilemea wengi – Utafiti

NA WANDERI KAMAU WAKENYA sasa wamegeukia kuwakopa jamaa na marafiki wao kutokana na ugumu wa hali ya maisha, huku wanawake wakiongoza kwa...

Ruto sasa aahidi kutii maamuzi ya mahakama

MARY WANGARI na BENSON MATHEKA RAIS William Ruto ameahidi kutii maagizo ya mahakama mradi tu athibitishe yametolewa na majaji ambao...

Rais mkongwe wa Liberia nusura azirai akisoma hotuba ya kiapo

NA LABAAN SHABAAN RAIS wa Liberia Joseph Boakai alishindwa kuhimili jua kali la Monrovia nusura azirai alipokuwa anasoma hotuba baada ya...

DeSantis ajiondoa na kuunga Trump kwa urais Amerika

FLORIDA, AMERIKA NA MASHIRIKA GAVANA wa Florida, Ron DeSantis Jumapili alisitisha kampeni zake za kuwania urais kupitia chama cha...

Hatutabeba mtu yeyote mpaka wenzetu waachiliwe, bodaboda wa Kitengela wasema

Na STANLEY NGOTHO TAKRIBAN wahudumu 1,500 wa bodaboda katika mji wa Kitengela Jumatatu asubuhi walisitisha huduma zao wakilalamikia...

Rais Ruto, Jaji Koome hatimaye wakutana baada ya wiki nyingi za malumbano

NA SAM KIPLAGAT JAJI Mkuu Martha Koome Jumatatu Januari 22, 2024 asubuhi amekutana na Rais William Ruto na Spika wa Bunge la Kitaifa...

Peter Salasya asema anataka kuwa Gavana Kakamega 2027

NA LABAAN SHABAAN MBUNGE wa Mumias Mashariki Peter Salasya ametangaza nia ya kuwania kiti cha ugavana katika Kaunti ya Kakamega,...

Magavana walia kucheleweshewa fedha

NA COLLINS OMULO HUENDA shughuli zikalemazwa katika kaunti mbalimbali baada ya serikali ya kitaifa kukosa kutuma zaidi ya Sh80 bilioni...