• Nairobi
  • Last Updated May 1st, 2024 11:06 AM

Msichana atembea 15km kujiunga na shule akiwa hana hata senti

NA SHABAN MAKOKHA MSICHANA mwenye umri wa miaka 13 kutoka eneo la Butere amewashangaza wengi baada ya kutembea umbali wa kilomita zaidi ya...

Riggy G kuwasilisha malalamishi dhidi ya Jaji ‘aliyemhangaisha’

NA WANDERI KAMAU NAIBU Rais Rigathi Gachagua amesema atawasilisha kesi kuishinikiza Tume ya Huduma za Mahakama (JSC) kumwondoa Jaji...

Kambi ya Jeshi ya Moi kuhamishiwa Kerio Valley kukabiliana na majangili

NA WANDERI KAMAU RAIS William Ruto Jumapili, Januari 14, 2024 alitangaza kuhamishwa kwa kambi ya mafunzo ya Jeshi la Kenya (KDF) kutoka...

Wataalamu wasema bangi haina madhara

NA MERCY CHELANGAT MAMLAKA ya Kusimamia Vyakula na Dawa (FDA) imependekeza bangi kuorodheshwa upya kama dawa yenye kiwango cha chini cha...

Mwanamke aliyeolewa afurushwa kwa kupiganiwa na wanaume  

NA MWANGI MUIRURI  KAMATI ya kiusalama katika Kaunti ya Murang'a kwa ushirikiano na wazee wa kijiji imemtimua mwanamke aliyezoea...

Wakenya kupumua kiasi mafuta yakishuka bei  

NA CHARLES WASONGA NI afueni kidogo tena kwa Wakenya baada ya serikali kupunguza bei ya petroli, dizeli na mafuta taa kwa angalau Sh5...

Raila ayataka makanisa kukemea Ruto kuhusu ‘uongozi mbaya’

NA JUSTUS OCHIENG KINARA wa Azimio la Umoja, Raila Odinga amelitaka kanisa liungane na Wakenya kukemea maovu ya Kenya Kwanza huku...

Wamalwa: Ruto alikerwa nilipopeleka Wetangula, Musalia kwa Kenyatta

NA MOSES NYAMORI ALIYEKUWA Waziri wa Ulinzi Eugene Wamalwa amefichua kuwa hatua yake ya kuwapeleka viongozi wa kisiasa wa upinzani...

Arati adai Waziri Machogu anahusika katika ghasia za majuzi Kisii

NA WYCLIFFE NYABERI  GAVANA wa Kisii Simba Arati amesema hatashiriki mazungumzo yoyote ya kumpatanisha na hasimu wake wa kisiasa,...

Hofu IEBC butu inaweza kutumbukiza Kenya kwenye mzozo wa kikatiba

NA CHARLE WASONGA TAIFA linakodolea macho mzozo mkubwa wa kikatiba kutokana ombwe uongozi uliopo katika Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka...

Wakazi wa Whitehouse kubomolewa nyumba zao kupisha mradi wa nyumba za bei nafuu

NA SIAGO CECE ZAIDI ya wakazi 2,000 wa mtaa wa Whitehouse ulioko eneo la Diani katika Kaunti ya Kwale wamepinga vikali mpango wa...

Mtaalamu wa IT ashtakiwa kufichua siri za mteja aliyepoteza Sh2.2m

NA RICHARD MUNGUTI MTAALAMU wa masuala ya kiteknolojia katika benki mojawapo nchini ameshtakiwa kufichua siri ya akaunti ya mteja...