• Nairobi
  • Last Updated May 4th, 2024 12:11 PM

Ndindi ndiye: Viongozi wamtaka Nyoro awanie urais 2032 badala ya Gachagua

NA MARTIN MWAURA Ubabe wa kudhibiti siasa za Mlima Kenya umeongezeka kufuatia baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza kumtaka Mbunge wa...

Furaha hatimaye msichana aliyeitwa shule ya wavulana kimakosa akitafutiwa sahihi

NA KASSIM ADINASI Baada ya Taifa Leo kuangazia masaibu ya msichana mwerevu anayetoka familia maskini na aliyeitwa kujiunga na shule ya...

Majangili Kerio Valley wapata mbinu mpya ya kuhepa polisi

FLORAH KOECH na BARNABAS BII KIKOSI cha jeshi (KDF) na walinda usalama wanaoendeleza operesheni ya ‘Maliza Uhalifu’ ukanda wa...

Bamburi Cement yatoa hakikisho la kuzuia mavumbi kufikia wakazi

NA FARHIYA HUSSEIN BAADA ya Kaunti ya Mombasa kufunga machimbo ya Bamburi Cement kutokana na malalamishi ya wakazi wa Kwa Bulo na...

Nyumba ya mpiganiaji uhuru yabomolewa Kariobangi

NA STEVE OTIENO MAMIA ya wakazi wa mtaa wa Kariobangi South KCC katika barabara ya Kangundo, usiku wa kuamkia Jumatano walikesha kwenye...

Pauni moja ya Uingereza sasa ni Sh200 katika tukio la kihistoria

Na PATRICK ALUSHULA, Business Daily Ubadilishanaji wa sarafu za kigeni umeingia katika tukio la kihistoria Jumatano, Januari 10, 2024...

Mwanadada adaiwa kujitia kitanzi kwa kukosa kazi

NA KASSIM ADINASI KIJIJI cha Umiru kilichoko Yala katika Kaunti ya Siaya kinaomboleza baada ya mmoja wao kupatikana akiwa ameaga dunia...

Kampuni ya simiti yazuiwa kutoa makaa bandarini

NA BRIAN OCHARO SHUGHULI katika kiwanda cha simiti cha Bamburi Cement jijini Mombasa zimo hatarini, baada ya Serikali ya Kaunti ya...

ETA: Kenya yakaangwa kuanza kuwatoza ada ‘majirani’ kuingia nchini

NA WANDERI KAMAU KENYA imekosolewa vikali kwa kuanza kuwatoza ada raia kutoka mataifa ambayo hayakuwa yakihitaji viza ili raia wake...

Wakazi wa Mukuyu walia eneo la biashara kugeuzwa dampo

NA MWANGI MUIRURI WAKAZI wa mji wa Mukuyu katika Kaunti ya Murang'a wametoa malalamiko kuhusu rundo la taka ambazo zimeziba barabara...

Serikali yapewa mtihani mkubwa kuhusu Mackenzie

NA BRIAN OCHARO MAHAKAMA ya Shanzu imetishia kumwachilia mhubiri Paul Mackenzie, kiongozi wa dhehebu tata la Good News International,...

Kamati ya usalama Kisii yalaumu wanasiasa kwa fujo eneo hilo

NA WYCLIFFE NYABERI KAMATI ya usalama katika Kaunti ya Kisii sasa inawalaumu baadhi ya viongozi wa kisiasa kutoka eneo hilo kwa ghasia...