• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 7:50 AM

Kifo cha ‘Sniper’: Maafisa wapekua kwa Mwangaza

NA GITONGA MARETE MAAFISA wanaoweka zingatio katika kuchunguza uhalifu wa mauaji, walifika katika makazi ya Gavana wa Meru Kawira...

TANZIA: Mwanahabari Fatma Rajab Ali wa Mo Radio aaga dunia

NA FARHIYA HUSSEIN SIKU moja tu baada ya wanahabari katika Kaunti ya Mombasa kuungana na familia ya mwenzao aliyehitaji msaada wa...

Raila aitaka serikali ikomeshe ubomoaji unaoendelea Msambweni

NA WANDERI KAMAU KIONGOZI wa Azimio La Umoja-One Kenya, Bw Raila Odinga, ameirai serikali kusimamisha shughuli za kuwahamisha watu kwa...

EPRA yafunga vituo 18 kwa kuuza mafuta yaliyoghushiwa

NA WANDERI KAMAU MAMLAKA ya Kudhibiti Kawi na Petroli (EPRA) imefunga vituo 18 vya kuuzia mafuta kwa madai ya kuuza mafuta...

Ubomoaji wa nyumba za maskwota 3,500 waanza Msambweni

NA LUCY MKANYIKA ZAIDI ya maskwota 3,500 katika kijiji cha Msambweni kilichoko Voi katika Kaunti ya Taita Taveta wako katika hatari ya...

Mvua kuendelea kushuhudiwa maeneo mengi nchini – Utabiri

NA CHARLES WASONGA IDARA ya Utabiri wa Hali ya Anga imetangaza kuwa sehemu nyingi nchini zitashuhudia mvua kubwa ndani ya siku saba...

CDF isipodunda kwa akaunti zetu katika saa 48 patachimbika, Wabunge waonya serikali

EVANS JAOLA na CHARLES WASONGA BAADHI ya wabunge kutoka eneo la Magharibi sasa wanaitaka serikali kutoa fedha za Hazina ya Kitaifa ya...

Sachang’wan mpya? Eneo la ajali barabara ya Nakuru-Eldoret lililoua 12 katika siku 18

NA MERCY KOSKEI Zaidi ya watu 12 wameaga dunia kutokana na ajali za barabara eneo la Mlango Moja hadi Timboroa, chini ya siku...

El-Nino imeua 174 kufikia Januari, ripoti ya majanga yasema

NA MWANDISHI WETU MVUA ya El Nino iliyoshuhudiwa nchini ilisababisha vifo vya watu 174; watu wazima 133 na watoto 41. Hii ni kulingana...

Raia wa DRC anyimwa dhamana katika kesi ya Sh2.85bn

NA RICHARD MUNGUTI RAIA wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) anayeshtakiwa pamoja na Wakenya watano kwa kula njama ya kumlaghai...

Bodaboda waliochukuliwa wapachikaji mimba wawalinda wasichana Kilifi

NA ALEX KALAMA JAMII imetakiwa kuwapa nafasi sawa watoto wa jinsia zote ili kuhakikisha taifa la kesho linapiga hatua kimaendeleo,...

Mbolea nafuu iliyohepeshwa yaanikwa kama ushahidi dhidi ya mkulima

NA RICHARD MUNGUTI MKULIMA kutoka Narok ameshtakiwa kuhifadhi magunia 252 ya mbolea ya bei nafuu inayotolewa kwa wakuliman wa mashamba...