• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 8:50 AM

Polisi ajiumiza mwenyewe kwa risasi mdomoni

NA MWANGI MUIRURI POLISI wa kiume anayehudumu katika Kaunti ya Murang’a, amekimbizwa hospitalini akiwa hali mahututi baada ya kudaiwa...

Mnatunyima bomba la mafuta kwa nini? Uganda yashtaki Kenya EACJ

Na SAM KIPLAGAT UGANDA imeishtaki Kenya kwa kuiwekea vikwazo kampuni yake ya mafuta kutumia mabomba ya Kampuni ya Usafirishaji Mafuta...

Sitakubali mahakama itoe maamuzi ya kukwamisha miradi yangu, Ruto aapa

Na MWANGI MUIRURI Rais William Ruto ameapa kwamba hatangoja idhini za mahakama ili kutekeleza ajenda yake ya kimaendeleo kwa mujibu wa...

Dhahabu feki: Mshukiwa wa saba afikishwa kizimbani

Na RICHARD MUNGUTI MSHUKIWA wa saba katika kashfa ya dhahabu feki ya thamani ya Sh2.85 bilioni ameshtakiwa katika mahakama ya Milimani....

Tutawaongezea mishahara mwaka huu, Gachagua ahakikishia polisi

Na JAMES MURIMI SERIKALI imewahakikishia maafisa wa Huduma ya Polisi nchini (NPS), Huduma ya Magereza na Huduma ya Vijana kwa Taifa (NYS)...

Arati motoni kwa kukiuka agizo la Waziri Machogu

Na RUTH MBULA GAVANA wa Kisii, Simba Arati amekiuka agizo la waziri wa Elimu Ezekiel Machogu na kuendelea kusambaza mifuko ya shule iliyo...

Papa Francis aitisha mazungumzo maaskofu wakiendelea kuwindwa

NA MASHIRIKA NICARAGUA TAKRIBAN maaskofu 14 wametiwa mbaroni, kufuatia msako mkali dhidi ya Kanisa Katoliki nchini Nicaragua hatua...

Utashuka tu, Raila amwambia Ruto kuhusu ushuru

NA SHABAN MAKOKHA KIONGOZI wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga amesisitiza kuwa Rais William Ruto hana budi ila kupunguza mateso ya...

Taharuki bodaboda akitafunwa na simba usiku wa Mwaka Mpya

NA SIAGO CECE Mwanamume mmoja aliuawa siku ya Mwaka Mpya baada ya kushambuliwa na simba karibu na Mbuga ya Wanyama ya Shimba Hills huko...

Omtatah arejea kortini kuripoti hofu kuhusu maisha yake

SAM KIPLAGAT na RICHARD MUNGUTI SENETA wa Busia Okiya Omtatah amewasilisha kesi kortini kumshinikiza Inspekta Jenerali wa Polisi, Japhet...

Hali itaimarika 2024, viongozi waahidi raia sherehe za Mwaka Mpya zikifika kilele

Na WAANDISHI WETU Wakenya na viongozi wao walikusanyika katika maeneo mbalimbali ya ibada na burudani kuukaribisha mwaka wa 2024 huku...

Msanii Mbosso alivyotumbuiza wakazi Kilifi kukaribisha 2024

NA ALEX KALAMA MSANII wa Bongo kutoka Tanzania, Mbwana Yusuf maarufu kama Mbosso Jumapili usiku, Desemba 31, 2023 aligeuza ufuo wa...