• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 5:50 AM

Barabara iliyo kumbukumbu ya mauti, vilio katika kaunti ya Lamu

NA KALUME KAZUNGU BARABARA ambayo ni kiunganishi cha pekee kufikia vijiji vya Salama, Juhudi, Widho, Marafa, Mashogoni na viungani mwake...

Anapapasa gizani?

NA MWANDISHI WETU RAIS William Ruto anaonekana kutapatapa kutafuta jibu la matatizo ya Wakenya huku shinikizo zikizidi kwamba atimize...

Hofu Pokot Magharibi takwimu za matineja wanaopachikwa mimba zikipanda

NA OSCAR KAKAI KAUNTI ya Pokot Magharibi inaendelea kuandikisha visa vya kutishia vya mimba za mapema ambapo kwa wasichana 100...

Ruto: Sipunguzi ushuru ng’o!

NA CHARLES WASONGA RAIS William Ruto ameshikilia kuwa serikali ya Kenya Kwanza haitawapunguzia Wakenya viwango vya ushuru licha ya kilio...

Mudavadi asema Kenya, DRC haziko katika mgogoro wa kidiplomasia

NA TITUS OMINDE SERIKALI ya Kenya haiko katika mgogoro wa kidiplomasia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Kinara wa Mawaziri na...

Ndege ya KQ yashindwa kutua Kigali, yapiga abautani kurudi Nairobi

NA MARY WANGARI SHIRIKA la ndege la Kenya Airways (KQ) kwa mara nyingine tena limegonga vichwa vya habari baada ya ndege iliyokuwa...

Watu 10 waponea kifo ndege ikigonga mlingoti wa stima na kulipuka Lamu

NA KALUME KAZUNGU WATU kumi, wakiwemo maafisa saba wa Jeshi la Ulinzi Kenya (KDF), konstebo wa polisi, rubani na msaidizi wake Jumapili...

Wafungwa waliozoea maisha ya Kisii mjini kupelekwa mashambani Nyanturago

NA WYCLIFFE NYABERI SERIKALI ya kitaifa kwa mara nyingine imetangaza nia ya kuhamisha gereza la Kisii kutoka katikati mwa mji huo hadi...

Wakazi wa Lamu washauriwa kudumisha usafi kisa cha kipindupindu kikiripotiwa Mpeketoni

NA KALUME KAZUNGU KIPINDUPINDU kinaendelea kuathiri maeneo mengine ya Lamu na kuzua tumbojoto miongoni mwa wahudumu wa afya kisa kimoja...

Sababu za wakazi wengi Lamu kukosa hamu ya kusherehekea Krismasi, Mwaka Mpya

NA KALUME KAZUNGU KWENYE miji, vijiji na vitongoji vingi hapa nchini Kenya na ulimwenguni kwa ujumla, utapata sikukuu za Krismasi na...

Mpiga picha aliyeponea kifo kwa moto kanisani Kiambaa 2008 awasamehe wote

NA ELVIS ONDIEKI MMOJA wa watoto walioponea mauti kanisa lilipochomwa kijijini Kiambaa, kaunti ya Uasin Gishu, mnamo Januari 1, 2008,...

Wanawake, vijana waongoza kununua simu za ‘lipa polepole’

NA FRIDAH OKACHI SIMU za mikopo zinazopatikana kwa urahisi mitaani zimetajwa kuwa 'mwokozi' wa raia wa mapato ya chini. Wananchi...