• Nairobi
  • Last Updated May 17th, 2024 2:31 PM

Hakikisha raia wana noti mfukoni, Rais aambiwa

NA TITUS OMINDE VIONGOZI wa kidini kutoka North Rift wametoa wito kwa Wakenya kuendelea kuwa na mshikamano na umoja licha ya hali ngumu...

Mama aponda wanawe kwa shoka na kutoweka

NA MWANGI MUIRURI MWANAMKE ambaye inadaiwa aliwashambulia wanawe wawili kwa shoka kichwani katika Kaunti ya Murang'a mnamo Desemba 23,...

Wasioamini Mungu wakubaliana na Papa kubariki mashoga

NA LABAAN SHABAAN MUUNGANO wa watu wasiomuamini Mungu nchini umesifia agizo la Papa Francis ambaye Jumatatu wiki jana aliagiza viongozi...

Wamiliki wa lojing’i waogopa washukiwa wa ushoga

NA MWANGI MUIRURI WAMILIKI wa lojing'i za mashinani sasa wanasema wanavuna vitamu huku wateja wakifurika. Ingawa hivyo, wengine...

Krismasi ya masaibu

NA WAANDISHI WETU WAKENYA wameungana na ulimwengu kuadhimisha Sikukuu ya Krisimasi leo Desemba 25, 2023, huku maelfu wakiwa kwenye kambi...

Waathiriwa wa mafuriko Lamu wapokea msaada

NA KALUME KAZUNGU WAKIMBIZI wa mafuriko Kaunti ya Lamu wamepokea fedha na misaada mingine ya kibinadamu ili kuwasaidia kupambana na hali...

Duale aunga mkono vita dhidi ya shisha

NA WANDERI KAMAU WAZIRI wa Ulinzi Aden Duale, ameunga mkono juhudi zinazoendeshwa na idara tofauti nchini kukabili matumizi ya Shisha,...

Polisi wachunguza kisa cha vijana 4 kuuawa Buruburu kwa risasi 100

NA MWANGI MUIRURI MAAFISA wameanzisha uchunguzi kuhusu kisa ambapo watu wenye bunduki waliua vijana wanne kwa kuwamiminia risasi zaidi...

Watu 4,139 walifariki kutokana na ajali mwaka 2023 – NTSA

NA WANDERI KAMAU JUMLA ya watu 4,139 walifariki kutokana na ajali za barabarani mwaka 2023, imesema Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama...

Mwanajeshi, mpenziwe ndani kwa wizi wa bastola

NA MWANGI MUIRURI MWANAJESHI alitiwa mbaroni Jumamosi akiwa na mpenzi wake wa kike kwa madai ya kumwibia mkazi wa Kirinyaga bastola yake...

Chapati Festival: Krismasi ya mapema Riruta

NA FRIDAH OKACHI WAPITANJIA katika wadi ya Riruta, eneobunge la Dagoretti Kusini, mnamo Jumamosi walifurahia mlo wa bure ulioandaliwa na...

Lamu: Wanyama hutumiwa kubeba wanyama wengine

NA KALUME KAZUNGU MJI wa kale wa Lamu unatambuliwa duniani kote kutokana na sifa zake za kuhifadhi ukale na tamaduni za karne na...