• Nairobi
  • Last Updated May 2nd, 2024 8:55 PM

Kindiki atakiwa kutuliza uhalifu Pokot Magharibi

NA OSCAR KAKAI KAMATI ya usalama katika bunge la kitaifa itamuita tena Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki kujibu maswali kuhusu...

El Nino: Uhaba wa mafuta Lamu kina mama wajawazito wakijifungua maeneo yaliyofurika  

NA KEVIN MUTAI HUENDA shughuli za usafiri na uchukuzi katika Kaunti ya Lamu zikatatizika baada ya mafuriko yanayoshuhudiwa kuchangia...

Vijana wahimizwa kutumia kozi zao kujiajiri

NA LAWRENCE ONGARO MAHAFALI wapatao 5, 700 wa chuo Kikuu cha Mount Kenya waliofuzu mwaka huu, 2023 wamehimizwa kutilia maanani ujuzi...

Shinikizo maspika wa mabunge yote wawe na digrii

NA COLLINS OMULO SHINIKIZO za kuwataka maspika wa Bunge la Kitaifa na mabunge ya Kaunti kuwa wamefuzu kwa shahada ya digrii zimeshika...

Magari ya kifahari yatumika kusafirisha dawa za kulevya

NA FARHIYA HUSSEIN UCHUNGUZI wa Idara ya Upelelezi (DCI) umebaini kuwa baadhi ya magari ya kifahari yanatumika kusafirisha dawa za...

Kiwanda cha kwanza cha korosho Lamu

NA FARHIYA HUSSEIN KAUNTI ya Lamu inatazamiwa kuwa na kiwanda chake cha kwanza cha korosho nchini eneo la Hindi. Hii ni baada ya...

Miaka 60 ya kujitawala imepotea bure, asema Raila akitaka vijana kukataa ‘udikteta’

Na CECIL ODONGO   KIONGOZI wa upinzani Raila Odinga ameonya kuwa Kenya inaelekea pabaya na hana haina mengi ya kusherehekea tangu...

Bobi Wine ashambuliwa kwa madai yake kuhusu sheria ya ushoga Uganda

NA MASHIRIKA KAMPALA, UGANDA MWANASIASA wa Uganda Robert Kyagulanyi almaarufu Bobi Wine, amekosolewa vikali kwa kudai kwamba Rais...

Ruto afufua makato ya nyumba, mara hii akiendea watu wa vibarua

Na DAVID MWERE WAKENYA ambao ni wafanyabiashara au wamejiajiri sasa wamefikiwa baada ya mswada kuwasilishwa katika Bunge la Kitaifa ili...

Wito wa kujiamini barani Afrika, kujitafutia suluhu ya matatizo watawala kongamano la Kusi Ideas

STEVE OTIENO NA CHARLES WASONGA MAKALA ya tano ya Kongamano la Kuzuzuana Mawazo la KUSI Ideas Festival limeanza huku viongozi wa Afrika...

Pigo jingine kwa Serikali korti ikizima kesi dhidi ya Msimamizi wa Bajeti Nyakang’o

Na RICHARD MUNGUTI SERIKALI imepata pigo tena baada ya mahakama kuu kusitisha kesi ya ulaghai wa Sh29 milioni aliyoshtakiwa Msimamizi wa...

Mzee aliyeoa msichana wa miaka 16 ashtakiwa kwa unajisi

NA JOSEPH NDUNDA MZEE wa miaka 50 aliyemuoa msichana wa miaka 16 anakabiliwa na mashtaka ya unajisi kinyume na kifungu cha 8 (1) (4) cha...