• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 5:50 AM

Machogu: Usahihishaji KCPE ulikuwa kazi safi na wakuu wa shule wameridhika na walichopata

NA TITUS OMINDE Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amepuuzilia mbali madai ya kasoro katika usahihishaji wa mtihani wa KCPE mwaka huu huku...

Ripoti ya matibabu yafichua ‘njama’ katika uchunguzi wa kesi ya unajisi

NA BRIAN OCHARO RIPOTI ya matibabu imefichua jinsi uchunguzi wa waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono katika vituo vya matibabu unavyoweza...

Tumetokomeza kipindupindu, endeleeni na shughuli zenu, Nakhumicha aambia watu wa Lamu

NA KALUME KAZUNGU WAZIRI wa Afya Susan Nakhumicha amewataka wakazi wa Lamu na wananchi kwa ujumla kuondoa hofu kuhusiana na mlipuko wa...

Watumiaji TikTok kuanza kuchuma hela na zawadi

NA WINNIE ONYANDO WANAOTUMIA mtandao wa kijamii wa TikTok kwa minajili ya kuendeleza biashara sasa wataweza kujichumia hela kupitia...

Mkenya wa miaka 52 ashtakiwa Amerika kwa kupanga kuua bibi yake 

NA MWANGI MUIRURI  MWANAMUME Mkenya ameshtakiwa nchini Amerika kwa makosa ya kujaribu kupanga njama kuua mwanamke wa familia yao. Bw...

Silvanus Osoro alaumu serikali ya Kenyatta kwa masaibu ya Margaret Nyakang’o

NA MARY WANGARI KUNDI la wabunge kutoka Kisii limemtetea vikali Mdhibiti wa Bajeti Margaret Nyakang’o, likidai kuwepo maafisa nje na...

KEBS: Mafuta yaliyosemekana kuwa hatari ni salama

NA CHARLES WASONGA SHIRIKA la Kukadiria Ubora wa Bidhaa Nchini (Kebs) limefafanua mafuta ya kupikia yaliyoingizwa nchini na Shirika la...

Ndovu wakaidi Taita Taveta ‘wanaonyang’anya’ watu chakula

NA LUCY MKANYIKA WAKULIMA maeneo mbalimbali katika kaunti ya Taita Taveta wanalazimika kulala mashambani mwao ili kulinda mimea na mazao...

Wahuni wa utekaji nyara Kiambu wanaswa   

NA MWANGI MUIRURI POLISI katika Kaunti ya Kiambu wamezindua msako dhidi ya majambazi watatu wa utekaji nyara wakiwa wakejihami kwa...

Mafuriko: Rigathi asuta magavana kulalamikia athari za El Nino kupitia wanahabari

NA WINNIE ATIENO NAIBU Rais Rigathi Gachagua ameendelea kusuta magavana kutokana na janga la mafuriko nchini, akisema kazi yao kubwa ni...

Viongozi kutoka Kisii watetea Nyakang’o wakidai anaandamwa kikabila

NA CHARLES WASONGA KUKAMATWA na kushtakiwa kwa Msimamizi wa Bajeti (CoB) kwa kosa analodaiwa kutenda 2016, sasa kumechukua mkondo wa...

Wizi wa pikipiki wazidi wahudumu wakiuawa

NA STANLEY NGOTHO WAHUDUMU wa bodaboda katika Kaunti ya Kajiado wamelalamikia ongezeko la visa vya wizi wa pikipiki zao ambapo watu 10...