• Nairobi
  • Last Updated May 3rd, 2024 3:16 PM

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge kuhusu Usalama atishiwa maisha na majangili anaolenga kuzima Rift Valley

NA CHARLES WASONGA MWENYEKITI  wa Kamati ya Bunge kuhusu Usalama Gabriel Tongoyo ameshikilia kuwa kamati hiyo itaendelea kuchunguza...

El-Nino: Gachagua, magavana waendelea kupakana tope

NA WINNIE ATIENO NAIBU Rais Rigathi Gachagua ameendelea kusuta magavana kutokana na janga la mafuriko nchini akisema kazi yao kubwa ni...

Vijana, akina mama wapokezwa ujuzi kukabiliana na itikadi kali na umaskini

NA KALUME KAZUNGU VIJANA na wanawake wa vijiji vya mpakani mwa Kenya na Somalia wamepokezwa na kuhitimu ujuzi wa taaluma mbalimbali...

NSC yatahadharisha Wakenya kuhusu aina 30 za uhalifu msimu wa Krismasi

NA MWANGI MUIRURI BARAZA Kuu la Usalama nchini (NSC) ambalo mwenyekiti wake ni Rais William Ruto limetoa orodha ya aina 30 za uhalifu...

Meneja afafanua ndege ilipata panchari ikitua uwanjani Manda

NA KALUME KAZUNGU SHUGHULI zilitatizika kwa muda katika uwanja wa ndege wa Manda, Kaunti ya Lamu Jumatatu jioni pale ndege ya kibinafsi...

Jamaa wa wanaume sita walioshtakiwa kwa wizi wa Sh94 milioni walia mahakamani

NA RICHARD MUNGUTI JAMAA wa wanaume walioshtakiwa kwa wizi wa Sh94 milioni za dukakuu la QuickMart wamelia mahakamani baada ya sita hao...

Mahakama yaipiga breki serikali kuuza KICC, mashirika mengine 10

NA SAM KIPLAGAT MAHAKAMA Kuu imesitisha kwa muda mpango wa serikali kuuza mashirika 11 ikiwemo jengo la Mikutano ya Kimataifa la KICC na...

Ndege yapata panchari ikitaka kupaa Manda

NA KALUME KAZUNGU NDEGE ya kibinafsi yakwama katika uwanja wa ndege wa Manda wakati ikijiandaa kupaa baada ya tairi kupata...

Muchai aliuawa na jambazi sugu chini ya dakika moja, mahakama yaambiwa

NA RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Mbunge wa Kabete George Muchai, walinzi wake wawili, na dereva wake waliuawa na majambazi waliotumia...

Taasisi 70 za kozi za kiufundi kupigwa jeki ya Sh8.8 bilioni

NA TITUS OMINDE SERIKALI kupitia kwa Idara ya Elimu na Mafunzo ya kiufundi itatoa ufadhili wa kima cha Sh8.8 bilioni kwa taasisi 70 za...

Mashirika yapigania haki ya ‘boychild’ visa vya ulawiti vikiongezeka Kilifi

NA MAUREEN ONGALA KWA miaka mingi visa vya dhuluma za kijinsia kwa watoto wa kike vimekuwa vikiripotiwa katika Kaunti ya Kilifi, hali...

Wanachama wa UDA wanaokaidi Ruto kuadhibiwa

NA JOSEPH OPENDA CHAMA cha United Democratic Alliance (UDA) kimetisha kuwachukulia hatua za kinidhamu wanachama watakaopatikana wakipinga...